UKAWA Wapuuzwe!

Wameishiwa sera hao Ukawa waende wakamsaidie bosi wao kujibu Kesi ya TRA Mahakamani
 
mtoa mada wacha maneno weka vyeti [in darasa's voice]
 
Dah! Huu uzi aliouanzisha mwenyewe umenikumbusha mbali sana sana.
 
mimi sijaona Chama sahihi Tanzania.
wanachokifanya waTanzania wamechoka Ccm kwahiyo wanaona bora kwingine kokote, bila kujali kokote huko kuna manufaa gani.

ningependa upinzani ushinde 2020 ili nione utaifanyia nini Tanzania na WaTanzania
 
Watu hulewa madaraka eeeh???

Ulijiona mbali.
 
Swaga za ccm na Makonda mi naona hazina mantiki maana kwa muda ambao ccm imekaa madarani miaka hamsini na tano hivi sioni kipya kama ni viwanda mlishaua, kama Azimio la Arusha mlishaua na mengine mengi, sasa nini kipya hapa ni heri Upinzani uchukue nchi nao tuone wataipeleka kama mfumo wenu wa kuua vizuri mlivyovikuta au watavirudisha. If you want to know the man character give him a power. Hivyo mimi sitaki kuamini wala kuaminishwa kuwa Wapinzani ni vikundi tu na hawafai kuiongoza nchi la hasha mpe nchi kisha utaona kuwa anaweza ama hawezi kuongoza. Mwisho niseme tu usiwapotoshe Watanzania kwa kutaka uwe mtawala wewe tu kwani kuna wengine wengi wazuri tu na wenye maono mazuri juu ya nchi hii kuliko ufikiriavyo wewe.
 
Wapuuzwe kwa lipi wakati mijadala yote motomoto wao ndio waibuaji
 
Bashite, the 0 brain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…