Uke kutokutoa harufu ya asili ni ugonjwa au ni Afya njema?

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
667
Reaction score
1,850
Kitaalam wanasema kuwa kuacha magonjwa za zinaa au fungus, Uchafu ambayo huleta harufu mbaya kwenye uke , huwa kuna harufu ya asili ambayo hutoka kwenye uke hata uwe msafi vipi huwa ipo naturally!.

Lakini tukija kwa upande wa pili wanawake wengine huwa hawana harufu yoyote yaani kama maji safi vile yasivyo na harufu yoyote ndivyo na sehem zao zilivyo ,hata ile harufu ya asili huwa haipo kabisa.

Je kitaalam huwa ni Ugonjwa au ni Afya njema?
 
Unatofautishaje harufu ya asili na ya uchafu. Ni nani anayetakiwa kujjaji hiyo harufu. Muhusika au mtu wa pili. Nadhani hakutakiwi kuwe na harufu yeyote kabisa. Zingatia usafi..
 
Umekosea jukwaa, hili ni jukwaa la makonda vs ndugai kuhusu taifa stars
 
Unatofautishaje harufu ya asili na ya uchafu. Ni nani anayetakiwa kujjaji hiyo harufu. Muhusika au mtu wa pili. Nadhani hakutakiwi kuwe na harufu yeyote kabisa. Zingatia usafi..
Aaaah wapi
 
Usiwajali hao wanaokunanga. Sio wote wanakijua unachokisema. Ni hivi, mwanamke yeyote mwenye kujisikia kale ka hamu ka mwanaume, hata ajikaze kivipi, huwa anafika mahali anajisahau na kumuwaza tu. Ghafla anaachia kama mate hivi na kujikaza. Sasa hako kaharufu ndo huitwa "Ka asili". Ukiona umekaa muda mrefu sana hukatoi tena hako kaharufu jua kuwa umepoteza hamu na mwanaume. Hujisikii tena. Wanawake wengi wasio na hako kaharufu ni wale ambao wanakosa hamu ya kujamiiana. Huo nao ni ugonjwa unaoitwa "Upweke".
 
Unatofautishaje harufu ya asili na ya uchafu. Ni nani anayetakiwa kujjaji hiyo harufu. Muhusika au mtu wa pili. Nadhani hakutakiwi kuwe na harufu yeyote kabisa. Zingatia usafi..
Hapana,..uke una harufu yake iliyoumbiwa,.asee ni tamm mnoo hata wewe kama rijali ukiisikia japo kwa mbali basi lazima dyudyu la yuyu liseme neno,.na kuijua unaijua mwenyewe mwanamke kama umekomaa vizuri unajijua na kujielewa,.mwanaume nae anaijua kwasababu huwa yakuvutia na traaamm😋😋
 
katika vitu ambavyo vinatoa harufu mbaya visipokoshwa k imo,mtu k inanuka mpaka unazirai
 
Kitaalam wanasema kuwa kuacha magonjwa za zinaa au fungus, Uchafu ambayo huleta harufu mbaya kwenye uke , huwa kuna harufu ya asili ambayo hutoka kwenye uke hata uwe msafi vipi huwa ipo naturally!.

Lakini tukija kwa upande wa pili wanawake wengine huwa hawana harufu yoyote yaani kama maji safi vile yasivyo na harufu yoyote ndivyo na sehem zao zilivyo ,hata ile harufu ya asili huwa haipo kabisa.

Je kitaalam huwa ni Ugonjwa au ni Afya njema?
Mkuu, tayari nimeku PM...teh
 
Hapana,..uke una harufu yake iliyoumbiwa,.asee ni tamm mnoo hata wewe kama rijali ukiisikia japo kwa mbali basi lazima dyudyu la yuyu liseme neno,.na kuijua unaijua mwenyewe mwanamke kama umekomaa vizuri unajijua na kujielewa,.mwanaume nae anaijua kwasababu huwa yakuvutia na traaamm😋😋
DUDU LA YUYU 😂 😂 😂 😂 😂 AGA AGA AGA AGA
 
Nahisi hakuna tatizo lolote...

Ila mwanamke akiwa na kale kaharufu ka- asili ka nanilii yake... inapendeza...

Cc: mahondaw
 
Kitaalam wanasema kuwa kuacha magonjwa za zinaa au fungus, Uchafu ambayo huleta harufu mbaya kwenye uke , huwa kuna harufu ya asili ambayo hutoka kwenye uke hata uwe msafi vipi huwa ipo naturally!.

Lakini tukija kwa upande wa pili wanawake wengine huwa hawana harufu yoyote yaani kama maji safi vile yasivyo na harufu yoyote ndivyo na sehem zao zilivyo ,hata ile harufu ya asili huwa haipo kabisa.

Je kitaalam huwa ni Ugonjwa au ni Afya njema?
je? ww unao uke hapo? usije kujaji kitu usichokua nacho mkuu.
 
Back
Top Bottom