bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 667
- 1,850
Kitaalam wanasema kuwa kuacha magonjwa za zinaa au fungus, Uchafu ambayo huleta harufu mbaya kwenye uke , huwa kuna harufu ya asili ambayo hutoka kwenye uke hata uwe msafi vipi huwa ipo naturally!.
Lakini tukija kwa upande wa pili wanawake wengine huwa hawana harufu yoyote yaani kama maji safi vile yasivyo na harufu yoyote ndivyo na sehem zao zilivyo ,hata ile harufu ya asili huwa haipo kabisa.
Je kitaalam huwa ni Ugonjwa au ni Afya njema?