Uke kuwa mkavu kwenye tendo

Uke kuwa mkavu kwenye tendo

Aibu gani kijana?
Nina mwanamke alikuwa na hilo tatizo na tulizunguka nae kwa wataalam hadi akapata tiba

Kama huna malengo na huyo msichana ni dhahiri utaona aibu na usumbufu kumtafutia tiba ila kama una malengo nae sioni aibu yoyote hapo

Unaona aibu juu ya hilo, utaweza kweli ongozana nae clinic kipindi cha ujauzito wake??
Walisema ana tatizo gani? Wadau wanasema demu hana hisia na mimi, au niachane nae?
 
Back
Top Bottom