Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
Najua hapa kuna watu wengi wenye taaluma tofauti tofauti, ivo naamini tatizo hili linaweza kupata majibu sahihi, mazur na yenye tija kwa wote.
Ni kitu gani kingine kinachosababisha uke kua mkubwa ( mpwerepwete) tofauti na kuzaa.
Nilikua najua labda kuzaa kunaweza kusababisha uke kutanuka na kushindwa kurudi kwenye hali ya kawaida kwa wakati au kutorudi moja kwa moja.
Cha ajabu unakuta ata kwa wasichana WA chini ya miaka 20 ambao hawajawai kuzaa wana matatizo haya ya uke mpwerepwete.
Kama kuna mtu anajua tafadhari atupe majibu sahihi na namna ya kumsaidia mtu mwenye matatizo haya.
Watu wengi wamekua wakiwakimbia wapenzi wao kwa matatizo haya.
Mi naona jambo jema ni kumsaidia kuondoa tatizo hili mapenzi yaendelee.
Tafadhali kama hauna majibu sahihi usibadili hali ya hewa lengo ni kutokomeza tatizo.
Karibuni