Uke mkubwa kwa under 20yrs unasababishwa na mini?

Uke mkubwa kwa under 20yrs unasababishwa na mini?

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,193
Reaction score
926
Najua hapa kuna watu wengi wenye taaluma tofauti tofauti, ivo naamini tatizo hili linaweza kupata majibu sahihi, mazur na yenye tija kwa wote.

Ni kitu gani kingine kinachosababisha uke kua mkubwa ( mpwerepwete) tofauti na kuzaa.

Nilikua najua labda kuzaa kunaweza kusababisha uke kutanuka na kushindwa kurudi kwenye hali ya kawaida kwa wakati au kutorudi moja kwa moja.

Cha ajabu unakuta ata kwa wasichana WA chini ya miaka 20 ambao hawajawai kuzaa wana matatizo haya ya uke mpwerepwete.

Kama kuna mtu anajua tafadhari atupe majibu sahihi na namna ya kumsaidia mtu mwenye matatizo haya.

Watu wengi wamekua wakiwakimbia wapenzi wao kwa matatizo haya.
Mi naona jambo jema ni kumsaidia kuondoa tatizo hili mapenzi yaendelee.

Tafadhali kama hauna majibu sahihi usibadili hali ya hewa lengo ni kutokomeza tatizo.
Karibuni
 
maumbile tu,wengi wana maumbile makubwa kama ilivyo wanazaliwa wanene wengine wembamba,wengine pua refu

OK sasa tunaweza kuwasaidia au ndio basi tena Mkuu!
 
Najua hapa kuna watu wengi wenye taaluma tofauti tofauti, ivo naamini tatizo hili linaweza kupata majibu sahihi, mazur na yenye tija kwa wote.

Ni kitu gani kingine kinachosababisha uke kua mkubwa ( mpwerepwete) tofauti na kuzaa.

Nilikua najua labda kuzaa kunaweza kusababisha uke kutanuka na kushindwa kurudi kwenye hali ya kawaida kwa wakati au kutorudi moja kwa moja.

Cha ajabu unakuta ata kwa wasichana WA chini ya miaka 20 ambao hawajawai kuzaa wana matatizo haya ya uke mpwerepwete.

Kama kuna mtu anajua tafadhari atupe majibu sahihi na namna ya kumsaidia mtu mwenye matatizo haya.

Watu wengi wamekua wakiwakimbia wapenzi wao kwa matatizo haya.
Mi naona jambo jema ni kumsaidia kuondoa tatizo hili mapenzi yaendelee.

Tafadhali kama hauna majibu sahihi usibadili hali ya hewa lengo ni kutokomeza tatizo.
Karibuni

Mkuu, hapa kuna mambo mawili ninayo yajua
A. maumbile, hapa kuna watu wamezaliwa hivyo wanamaumbile makubwa..
B. Kuna mambo ya jinsi ya kujisafisha kuufanya uke usipanuke , mambo ya kuondoa utoko ukeni (makungwi wanajua zaidi hapa)
 
Nimekupata Mkuu!
 
uke pia ni kiungo kama vilivyo viungo vingine vya binadamu,,,, ukubwa wa viungo hutofautiana kati ya mtu na mtu.... kwa mfano... wewe hapo unaweza ukawa na kichwa kikubwa kuliko mwenzio mlio rika moja, au kuliko hata cha baba yako au ukawa na pua kubwa kuliko wenzio wa rika moja, au ukawa na domo kubwa kuliko hata wakubwa zako..... hali kadhalika mbunye pia hutofautiana... sio kwamba kuna specific size ya mbunye...
 
Kimsingi ni kuwa hakuna uke mkubwa wala mdogo isipokuwa kanuni inasema kuwa kila spana inafaa kwenye bolt yake au nati yake...ukiona spana haiumani kisawa sawa na bolt au nati na unapata tabu kufungua basi ujue hiyo siyo spana yake....na ukilazimisha utaharibu bolt na spana.....TAFAKARI CHUKUA HATUA....
 
Kweli kabisa, hakuna uke mkubwa wala mdogo, inategemea na mashine zinazo pitaga hapo, km unaelea basi jua mashine co saiz yake. Lkn hilo halisababishi ushindwe kimgegeda demu, inategemea na unavo kitumia kibamia chako ila wakitokea wenye midushe watakubebea jumla labda uwe na pesa lkn bado watakumegea. Ila ongeza juhudi na kukatika ili awe anaridhika, wangoni wengi ni vibamia lkn akipata dem ataimba nyimbo zote so km unamridhisha af ni mstarabu basi atatulia japo atayamisi sana mamitalimbo.
 
Unamaanisha nini unavyosema ni kubwa? Kwann wakati unafanya ilo tendo usitumie style ambayo automatically itambana ili friction iwe ya kutosha? Kuwa mbunifu ndugu na usikariri mambo ...dance according to the tune

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wakati mwingine inasababishwa na huyo mwanamke kuwa anabadilisha wanaume mara kwa mara na tena wanaume anaokutana nao unaweza kukuta wana mihogo mikubwa.

Niliwahi kusikia wakina dada wanasema njia nzuri ya kufanya uke usitanuke sana ni kwa mwanamke kujitahidi kutopenda kuitumia ile style ya kifo cha mende kwa sana

Pia kama mwanamke anaona uke wake umetanuka sana anaweza kujitahidi kutojihusisha na masuala ya kugegedana walau kwa kama miezi 2 na uke wake utarudi kwenye hali ya kawaida.

Mwanamke mwenye tatizo la kuwa na uke mkubwa inampasa kutopenda kusafisha uke wake kwa maji ya moto ila awe anatumia ya baridi.

Pia mwanamke mwenye tatizo la uke inampasa awe anajitahidi kufanya mazoezi kama ya kukimbia kidogo misuli yake ikaze na ile sehemu itarudi poa.

Mwisho mdada mwenye tatizo hili hasijaribu kukimbilia kutumia madawa yanayotangazwa tangazwa mwisho wa siku akiyatumia anaweza kuishia kupata kansa tu
 
Back
Top Bottom