Uke mkubwa kwa under 20yrs unasababishwa na mini?


Hahaaaaa uwiiii
Yaaani ninecheka mkuu!
 
ukiangalia huu uzi...unaona majibu mepesi mepesi, na ujuaji mwingi...lkn hamna mtu aliyeamua kuingia deep..ntawka sawa mambo ntakuja na sababu na solution na dawa ya hili tatizo...hapa us sasa hivi wanawake wengi wanafanya vaginoplasty...ila vijana wakibongo tuache shortcut inayopelekea kutoa majibu mepesi mepesi...tutazidi kuachwa nyuma
 
Sababu nyingine inayosababisha uke kuwa mkubwa ni mchezo wa katerero
 
Sidhani kama unaweza kurudi kama mwanzo ulivokuwa kabla ya kuzaa. Kuna utofauti fulani baada ya kupitisha mtoto.

nani kakudanganya......kama hauwezi kurudi...?

hiyo tofauti ni ipi unayosema wew......?
 

Nadhani haujaelewa kilichoandikwa, hakuna nilipoandika limenitokea Mimi.
 
Jiulize inakuaje wanaume wanakua na wanawake wenye watoto ila hawagundui kabisa hadi waambiwe??

Hiyo ni pale kama ulianza naye wakati ana mtoto tayari. Lakini ukiwa naye kabla ya mtoto na baada ta kuzaa kuna utofauti. Ile elasticity haiwezi kuwa kama mwanzo. Ila uwezekano upo mkubwa kwamba aliyezaa akawa vizuri kuliko ambaye hana mtoto kutokana na maumbile. Lakini kama unamuongelea mwanamke huyo huyo kabla na baada utofauti upo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…