Uke mkubwa kwa under 20yrs unasababishwa na mini?

Uke mkubwa kwa under 20yrs unasababishwa na mini?

Kimsingi ni kuwa hakuna uke mkubwa wala mdogo isipokuwa kanuni inasema kuwa kila spana inafaa kwenye bolt yake au nati yake...ukiona spana haiumani kisawa sawa na bolt au nati na unapata tabu kufungua basi ujue hiyo siyo spana yake....na ukilazimisha utaharibu bolt na spana.....TAFAKARI CHUKUA HATUA....

Hahaaaaa uwiiii
Yaaani ninecheka mkuu!
 
ukiangalia huu uzi...unaona majibu mepesi mepesi, na ujuaji mwingi...lkn hamna mtu aliyeamua kuingia deep..ntawka sawa mambo ntakuja na sababu na solution na dawa ya hili tatizo...hapa us sasa hivi wanawake wengi wanafanya vaginoplasty...ila vijana wakibongo tuache shortcut inayopelekea kutoa majibu mepesi mepesi...tutazidi kuachwa nyuma
 
Sidhani kama unaweza kurudi kama mwanzo ulivokuwa kabla ya kuzaa. Kuna utofauti fulani baada ya kupitisha mtoto.

nani kakudanganya......kama hauwezi kurudi...?

hiyo tofauti ni ipi unayosema wew......?
 
Unamaanisha nini unavyosema ni kubwa? Kwann wakati unafanya ilo tendo usitumie style ambayo automatically itambana ili friction iwe ya kutosha? Kuwa mbunifu ndugu na usikariri mambo ...dance according to the tune

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Nadhani haujaelewa kilichoandikwa, hakuna nilipoandika limenitokea Mimi.
 
Jiulize inakuaje wanaume wanakua na wanawake wenye watoto ila hawagundui kabisa hadi waambiwe??

Hiyo ni pale kama ulianza naye wakati ana mtoto tayari. Lakini ukiwa naye kabla ya mtoto na baada ta kuzaa kuna utofauti. Ile elasticity haiwezi kuwa kama mwanzo. Ila uwezekano upo mkubwa kwamba aliyezaa akawa vizuri kuliko ambaye hana mtoto kutokana na maumbile. Lakini kama unamuongelea mwanamke huyo huyo kabla na baada utofauti upo tu.
 
Back
Top Bottom