Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nadhani haujaelewa kilichoandikwa, hakuna nilipoandika limenitokea Mimi.
aaah Jembemtaji si useme tu??
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani haujaelewa kilichoandikwa, hakuna nilipoandika limenitokea Mimi.
Wakati mwingine inasababishwa na huyo mwanamke kuwa anabadilisha wanaume mara kwa mara na tena wanaume anaokutana nao unaweza kukuta wana mihogo mikubwa.
Niliwahi kusikia wakina dada wanasema njia nzuri ya kufanya uke usitanuke sana ni kwa mwanamke kujitahidi kutopenda kuitumia ile style ya kifo cha mende kwa sana
Pia kama mwanamke anaona uke wake umetanuka sana anaweza kujitahidi kutojihusisha na masuala ya kugegedana walau kwa kama miezi 2 na uke wake utarudi kwenye hali ya kawaida.
Mwanamke mwenye tatizo la kuwa na uke mkubwa inampasa kutopenda kusafisha uke wake kwa maji ya moto ila awe anatumia ya baridi.
Pia mwanamke mwenye tatizo la uke inampasa awe anajitahidi kufanya mazoezi kama ya kukimbia kidogo misuli yake ikaze na ile sehemu itarudi poa.
Mwisho mdada mwenye tatizo hili hasijaribu kukimbilia kutumia madawa yanayotangazwa tangazwa mwisho wa siku akiyatumia anaweza kuishia kupata kansa tu
MZALENDO we tu ndio naona umeielewa thread madhumun na nia yake.
Wengi wamekwepa ukweli na kukimbilia majibi mepesimepesi.
Eti vibamia ndio sababu wakati ukiambiwa kubwa ni kwa wote.
huu uzi ukiufatilia vizuri kama ni mwanaume huna demu unaenda bafuni
Duh aisee we ndio umeoza ubongo kuna mtu siku izi anakosa nyuchi?
Unaishi dunia gani?
Ungekua mwanaume ningekuelekeza sehemu za kupata k na price kulingana na mkoa uliopo.
Au na wewe ndio walele mipwerepwete!.
ukiangalia huu uzi...unaona majibu mepesi mepesi, na ujuaji mwingi...lkn hamna mtu aliyeamua kuingia deep..ntawka sawa mambo ntakuja na sababu na solution na dawa ya hili tatizo...hapa us sasa hivi wanawake wengi wanafanya vaginoplasty...ila vijana wakibongo tuache shortcut inayopelekea kutoa majibu mepesi mepesi...tutazidi kuachwa nyuma
Hakuna uke mdogo wala mkubwa. Ni vile tu huyo mwanamke anakutana na mwanaume mwenye uume wa ukubwa au udogo upi. Ukiwa na uke mdogo ukikutana na uume mkubwa siyo sawa. Ukiwa na uke mkubwa ukikutana na uume mdogo siyo sawa.
Najua hapa kuna watu wengi wenye taaluma tofauti tofauti, ivo naamini tatizo hili linaweza kupata majibu sahihi, mazur na yenye tija kwa wote.
Ni kitu gani kingine kinachosababisha uke kua mkubwa ( mpwerepwete) tofauti na kuzaa.
Nilikua najua labda kuzaa kunaweza kusababisha uke kutanuka na kushindwa kurudi kwenye hali ya kawaida kwa wakati au kutorudi moja kwa moja.
Cha ajabu unakuta ata kwa wasichana WA chini ya miaka 20 ambao hawajawai kuzaa wana matatizo haya ya uke mpwerepwete.
Kama kuna mtu anajua tafadhari atupe majibu sahihi na namna ya kumsaidia mtu mwenye matatizo haya.
Watu wengi wamekua wakiwakimbia wapenzi wao kwa matatizo haya.
Mi naona jambo jema ni kumsaidia kuondoa tatizo hili mapenzi yaendelee.
Tafadhali kama hauna majibu sahihi usibadili hali ya hewa lengo ni kutokomeza tatizo.
Karibuni
kwani wakuu nini kinasababisha tumbo.o tudogo kwa above twenti?
Maumbile ya binadamu hutofautiana. It's not strange at all. Ninachojiuliza kwa hawa wazee wetu ambao hii principle ya kutonunua mbuzi kwenye kiroba, waliwezaje kustahamili..! Unaolewa na mtu ana nchi tatu while wewe una shimo la haja....mmmh!!!
n viceversa unakutana na mtwangio wa haja, uwiii lazima utoke nduki aiseee!
..teeeh! Ukute una kama ka mtoto wa primary afu unakutana na mandingo..lazma uyaite maji 'mma'
..teeeh! Ukute una kama ka mtoto wa primary afu unakutana na mandingo..lazma uyaite maji 'mma'
uke pia ni kiungo kama vilivyo viungo vingine vya binadamu,,,, ukubwa wa viungo hutofautiana kati ya mtu na mtu.... kwa mfano... wewe hapo unaweza ukawa na kichwa kikubwa kuliko mwenzio mlio rika moja, au kuliko hata cha baba yako au ukawa na pua kubwa kuliko wenzio wa rika moja, au ukawa na domo kubwa kuliko hata wakubwa zako..... hali kadhalika mbunye pia hutofautiana... sio kwamba kuna specific size ya mbunye...