kwa mwanamke uke utanuka na kulegea utokana na kukutana na wanaume wenye maumbile tofauti na kuendekeza ngono katika umri mdogo coz via vinakuwa havijakomaa vile vile kutofanya mazoezi ya viungo hii nayo usababisha viungo kulegea sio uke tu bali hata mwili mzima ulegea minyama utepeta km unataka kurudisha uke wako kuwa kama zamani jaribu kufanya mazoezi ya viungo mara kwa mara hii itakuondolea mihemko ya mara kwa mara hili kuupa uke nafasi ya kujirudi na kuimalisha misuli yako , jambo lingine safisha uke wako vizuri tafuta ubani tia kwenye chupa dondoshea kaa la moto ndani ya chupa then jifukize moshi wake chuchumaa lenga mdomo wa chupa kwenye mlango wa uke ule moshi wa ubani uingie vizuri ukeni kwa dk kumi halafu toa ukifanya zoezi hili mara kwa mara uke ujirudi na kuwa na mnato wa hali ya juu km umeolewa mmeo atakushangaa na kukuona mpya kila cku.