Uke una rangi gani?

Uke una rangi gani?

Joined
Sep 17, 2015
Posts
22
Reaction score
3
Naombeni mnieleweshe,

Nasikia kwamba Uke hujisafisha wenyewe na kutoa uchafu wa kawaida. Je, uchafu wa kawaida una rangi gani?
 
Nadhani title hapo juu haikua yenyewe,

"Uke una Rangi gani?"

Kwa kua swali lako ni,
Uchafu unaotoka ukeni wa kawaida una rangi gani?
Ili kama ikiwa rangi tofauti ujue kua una tatizo,

Jibu ni kua,
Uchafu wa kawaida hua na rangi nyeupe na wengine rangi ya cream isiyokoza na HUA HAUNUKI.

Kunuka ule uchafu ni dalili kubwa ya tatizo,

Wataalamu wanajua zaidi.
 
dahhh mtu anauliza swali la maana anaishia kujibiwa mizaha tu
 
dahhh mtu anauliza swali la maana anaishia kujibiwa mizaha tu

watu hawana adabu. hawaangalii hata jukwaa la kufanya mizaha. wanajibu mizaha kweny masuala ya kiafya!! hii hatari sana.
 
Nadhani title hapo juu haikua yenyewe,

"Uke una Rangi gani?"

Kwa kua swali lako ni,
Uchafu unaotoka ukeni wa kawaida una rangi gani?
Ili kama ikiwa rangi tofauti ujue kua una tatizo,

Jibu ni kua,
Uchafu wa kawaida hua na rangi nyeupe na wengine rangi ya cream isiyokoza na HUA HAUNUKI.

Kunuka ule uchafu ni dalili kubwa ya tatizo,

Wataalamu wanajua zaidi.

shukrani mkuu, jibu murua sana hili.
 
Back
Top Bottom