Uke una rangi gani?

Uke una rangi gani?

Nadhani title hapo juu haikua yenyewe,

"Uke una Rangi gani?"

Kwa kua swali lako ni,
Uchafu unaotoka ukeni wa kawaida una rangi gani?
Ili kama ikiwa rangi tofauti ujue kua una tatizo,

Jibu ni kua,
Uchafu wa kawaida hua na rangi nyeupe na wengine rangi ya cream isiyokoza na HUA HAUNUKI.

Kunuka ule uchafu ni dalili kubwa ya tatizo,

Wataalamu wanajua zaidi.

Na kwa kuongezea unaweza kuwa mweupe lakini kama unakuwa mzito sana au kama maziwa ya mgando hicho ni kiachishiria tosha cha maambukizi....

Rangi ya Brown,njano,au mwingine unakuwa kama kijani fulani mpauko ni viashiria tosha vya maambukuzi....
 
Thank you!
 
tantee, ubarikiwe.
 
Mi hiyo TITLE ilishaniacha hoi,nikadhani tumetembelewa na under 18
 
Nadhani title hapo juu haikua yenyewe,

"Uke una Rangi gani?"

Kwa kua swali lako ni,
Uchafu unaotoka ukeni wa kawaida una rangi gani?
Ili kama ikiwa rangi tofauti ujue kua una tatizo,

Jibu ni kua,
Uchafu wa kawaida hua na rangi nyeupe na wengine rangi ya cream isiyokoza na HUA HAUNUKI.

Kunuka ule uchafu ni dalili kubwa ya tatizo,

Wataalamu wanajua zaidi.
Usiseme wakawaida haunuki, sema wakawaida unakaharufu ka mvuto, we mwanamke mwenyewe huwezi kasikia, tena hasa hasa pale unapokuwa kwenye danger ndo balaa. Hii ni kwa wanawake wenye uhalisia tu, sio wale wanaoosha nyapu zao na kemikali za kizungu.
 
Hahahaha,
Basi sawa.
 
Back
Top Bottom