under timer
JF-Expert Member
- Dec 25, 2021
- 389
- 595
Habari, siku nne zimepita tangu nipate jiko(mke)
Siku ya kwanza tumeshiliki bila shida yoyote, siku iliyofata uke ukabana kiasi kwamba hata vidole viwili haviwezi kupita, tukajipa moyo kesho ake tukaweka hadi mate lakn hakuna kitu
tumewashilikisha mashangazi wao pia hawaelewi nini cha kufanya
Nikimuuliza mwenzang km kuna kitu kafanyiwa uko kwao anakataa
Msaada wenu tafadhali pia ningependa kujua
1-Je, ni uchawi?
2-Je, kuna dawa za kumponesha?
3-Je, akipona anabaki km binadam wa kawaida au anakuwa tayar kaalibiwa mfumo wake wa uzazi?
4-Kwanini afanywe hivo/kuna faida gani?
Nawasilisha