under timer
JF-Expert Member
- Dec 25, 2021
- 389
- 595
- Thread starter
- #141
karne hii mabint weng tunaoa washatumika ila wanafichaga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nadhani kila mtu abaki na mtazamo wake, sio rahisi wewe kuja upande wangu vile vile Mimi kuja upande wako.Sawa. Ila hukujibu swali. Unaielewa kazi ya uchi?
NB
I cant reach up to that level of slavery and dumbness!. Never ever.!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kuwa mtumwa ni kufanya vitu kwa amri/kulazimishwa but Mimi nafanya kwa hiari yangu ikiwa na lengo la kumfanya mwenzi wangu ainjoi mahusiano. Kumbuka utafiti unaonesha ni asilimia chache ya Wanawake wanafika Mshindo, ili kukabiliana na hali hiyo ndiyo maana baadhi ya Wanaume tunajaribu kuwa wabunifu.
Majitu mengine sijui yapoje mkuu. Unakuta jitu kabisa limekaa kijiweni eti linamjadili mwanaume mwenzake hawezi show...!mwambie huyo
Hakika!Me nadhani kila mtu abaki na mtazamo wake, sio rahisi wewe kuja upande wangu vile vile Mimi kuja upande wako.
Ila ni muhimu kumfanya mwenzi wako afurahie mahusiano yenu kwa kumfanya afike safari yake, zipo njia nyingi lakini cha kwanza ni maandalizi ikiwemo wale wanaozama chumvini.
Kulalamika si hoja. Mara ngapi wanawake wanaleta visa humu, au huko mitaani wakilalamika hawakojozwi, ilhali wanaume wao wanajigamba kuwakojoza wake zao?Kuwa mtumwa ni kufanya vitu kwa amri/kulazimishwa but Mimi nafanya kwa hiari yangu ikiwa na lengo la kumfanya mwenzi wangu ainjoi mahusiano. Kumbuka utafiti unaonesha ni asilimia chache ya Wanawake wanafika Mshindo, ili kukabiliana na hali hiyo ndiyo maana baadhi ya Wanaume tunajaribu kuwa wabunifu.
Tangu niwe mbunifu kwa angle hii, Mwanamke wangu anainjoi na anafuraha kunipata Mimi kama Mume wake.
Sikulazimishi, ila ukiona inafaa jaribu njia hii kumfanya Shemeji yetu afurahie mahusiano yenu, ni vibaya kumsikia Mwanamke analalamika hajawahi kukojozwa kwa miaka 10 wengine 20 wakati wapo kwenye mahusiano.
Humu JF kuna baadhi ya wanawake, pamoja na mizaha yao wakati fulani, ila kwa namna wanavyo-comment wakiwa serious, unagundua kabisa kwamba vichwani wana kitu, hawajabeba boga.
Umeeleza vizuri sana mkuu. Hongera.
Nisamehe kama wewe siyo "KE"... [emoji3]