Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Kuna watu mpaka karne hii wanaona aibu hata kwenda kununua condom pharmacy sembuse hayo mafuta aonekane ni mfiraji?Mnatumiaje mate this is 2023
Hebu tafuta vilainishi mbona vimejaa pharmacy...halafu jitahidi kuwa romantic kidogo huenda upo very harsh hadi anakuogopa
Na uwe msiri jambo kidogo tu ushashtaki kwa mashangazi
Nilikuaga na kademu kamoja ute wake ulikua unakauka haraka nikimpigisha mbio ndefu, tukashauriana tununue KY basi banaaa siku niliyoenda kwenye hivi viduka vyetu vya dawa vya uswahili kuulizia KY muuzaji sijui alikua mlokole yule akaanza kunihubiria zambi za ufiraji na ilivyo ni chukizo mbele ya bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]