Uke unabana hata uume haupiti ila sio bikla, au kalogwa?

Uke unabana hata uume haupiti ila sio bikla, au kalogwa?

Inawezekana hayupo sawa kisaikolojia, hivyo nashauri kama una nafasi mpeleke hotel au sehemu nyingine kulingana na uwezo wenu kwaajili ya kum-comfort huyo Bibie.

Lakini pia yawezekana humuandai vya kutosha, nimesoma hapo mwisho unasema unapaka hadi Mate, njia hii ni kama unambaka Mkuu.

Kwa mapenzi ya sasa, jaribu kucheza vizuri na maumbile yake na ukiweza nenda Uvinza walau kwa dakika 10 ukimuandaa, njia ikishindwa kufunguka nina 30k yako hapa utanidai
Kuna watu mnazama mnalamba nyuchi bado? Hivi mnaielewa kazi ya uchi?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu mpaka karne hii wanaona aibu hata kwenda kununua condom pharmacy sembuse hayo mafuta aonekane ni mfiraji?
Nilikuaga na kademu kamoja ute wake ulikua unakauka haraka nikimpigisha mbio ndefu, tukashauriana tununue KY basi banaaa siku niliyoenda kwenye hivi viduka vyetu vya dawa vya uswahili kuulizia KY muuzaji sijui alikua mlokole yule akaanza kunihubiria zambi za ufiraji na ilivyo ni chukizo mbele ya bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] umechekesha sana

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
habari, siku nne zimepita tangu nipate jiko(mke)
siku ya kwanza tumeshiliki bila shida yoyote, siku iliyofata uke ukabana kiasi kwamba hata vidole viwili haviwezi kupita,
tukajipa moyo kesho ake tukaweka hadi mate lakn hakuna kitu
tumewashilikisha mashangazi wao pia hawaelewi nini cha kufanya

nikimuuliza mwenzang km kuna kitu kafanyiwa uko kwao anakataa

msaada wenu tafadhali
pia ningependa kujua
1-je ni uchawi?
2-je kuna dawa za kumponesha?
3-je akipona anabaki km binadam wa kawaida au anakuwa tayar kaalibiwa mfumo wake wa uzazi?
4-kwanini afanywe hivo/kuna faida gani?

nawasilisha

Tatizo ni wewe mkuu me nishakua na mpenzi wa aina hio ila nkajifunza jinsi ya kumchapa yaani kila cku ni kama natoa bk [emoji81]
Na mambo yanaenda fresh
Nb mafuta yanakazi muhim xnaa kwako
 
Mbona umekuwa mtumwa hivyo?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Mkuu hayo mambo yapo tangu enzi zile kabla ya Yesu.

Tafuta muda ujifunze mambo mapya kuhakikisha uliye naye anafurahia mahusiano yenu.

Huoni mimi pamoja na umri wangu kwenda naongeza maarifa kwa kujisomea Kamasutra traot

Don't be that rigid
 
lakn sio mara ake ya kwanza anadai uko nyuma amewahi kushuriki mara kwa mara bila shida na hata mimi mwenyewe siku yakwanza sikupata shida hata kidogo iweje baada ya hapo ndo uke ubane?
Niko nje ya mada kidogo..

Kwamba mkeo anasema,
"Huko nyuma amewahi kushiriki mara kwa mara bila shida"

Mkuu ulipata wapi ujasiri wa kusikia maneno yake haya kwamba ashatumika sana.Wewe umekuja Kuoa kitu used imesha chakazwa? [emoji1]
 
Naweza kuwa anafanya makusudi ili kukuaminisha hakuwa mzinzi sana,hivyo jitahidi kumfanyia romance vizuri na ute ukiongezeka na akapata hisia kali basi ataacha kubana maana atahisi raha,hata kama ikiwa ngumu kuingia Ila ikiingia hata kuchwa tu basi lazima itaachia bila shida
 
Naweza kuwa anafanya makusudi ili kukuaminisha hakuwa mzinzi sana,hivyo jitahidi kumfanyia romance vizuri na ute ukiongezeka na akapata hisia kali basi ataacha kubana maana atahisi raha,hata kama ikiwa ngumu kuingia Ila ikiingia hata kuchwa tu basi lazima itaachia bila shida
shukran
 
Niko nje ya mada kidogo..

Kwamba mkeo anasema,
"Huko nyuma amewahi kushiriki mara kwa mara bila shida"

Mkuu ulipata wapi ujasiri wa kusikia maneno yake haya kwamba ashatumika sana.Wewe umekuja Kuoa kitu used imesha chakazwa? [emojikwa karne hii mabint weng tunaoa washatumika ila wanafichaga tu
 
Back
Top Bottom