Uke unabana hata uume haupiti ila sio bikla, au kalogwa?

Uke unabana hata uume haupiti ila sio bikla, au kalogwa?

habari, siku nne zimepita tangu nipate jiko(mke)
siku ya kwanza tumeshiliki bila shida yoyote, siku iliyofata uke ukabana kiasi kwamba hata vidole viwili haviwezi kupita,
tukajipa moyo kesho ake tukaweka hadi mate lakn hakuna kitu
tumewashilikisha mashangazi wao pia hawaelewi nini cha kufanya

nikimuuliza mwenzang km kuna kitu kafanyiwa uko kwao anakataa

msaada wenu tafadhali
pia ningependa kujua
1-je ni uchawi?
2-je kuna dawa za kumponesha?
3-je akipona anabaki km binadam wa kawaida au anakuwa tayar kaalibiwa mfumo wake wa uzazi?
4-kwanini afanywe hivo/kuna faida gani?

nawasilisha
LIchezew hilo toto lilowane achana na mate.
Au pia ni zike kavu zisizolowana?
 
Hiyo hali inaitwa Vaginismus. Hiyo haihitaji hata matibabu ya hospitali ila yeye anatakiwa aweze kui control mwenyewe.

Kinachotokea ni hiyo misuli ya pusy inakaza au inabana na inabana zaidi pale anapokuwa na hofu kwamba “uchi wangu ni mdogo, na leo haitapita tena , leo nitaumia nk.” Hilo tatizo linaanzia kwenye mawazo yake.
Afanyaje dr
 
kijana wa makamo unazijua dakika10 kweli yaan nyimbo tatu za bong fleva umuandae binti?
Hahaha.....................enzi zetu za ujana ilikuwa tunatumia nusu saa kuandaana, bahati mbaya umri umetutupa mkono tumebaki kushauri Vijana tu 🤗
 
Hapo dawa yake ni KY jelly au O'live oil unamalizia kazi
 
lakn sio mara ake ya kwanza anadai uko nyuma amewahi kushuriki mara kwa mara bila shida na hata mimi mwenyewe siku yakwanza sikupata shida hata kidogo iweje baada ya hapo ndo uke ubane?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tatizo mnaoa wake za Watu, yaani mkeo anakutamkia kabisa kua huko nyuma ameshashiriki mara kwa mara bila ya shida.
Mtafute huyo aliyekua anashiriki nae mara kwa mara mmalizane kiume ili akupatie password.
 
kuna vipipi mkuu hebu mchunguze vizri
Hivyo vipipi si vinamumunywa mdomoni? Kuna vya kuweka huko chini kwani?
Ndo maana vikaitwa vipipi maana ni vitamu kama pipi
 
lakn sio mara ake ya kwanza anadai uko nyuma amewahi kushuriki mara kwa mara bila shida na hata mimi mwenyewe siku yakwanza sikupata shida hata kidogo iweje baada ya hapo ndo uke ubane?
Watafute hao wa nyuma walioshiriki nae mara kwa mara uwaite halafu wewe upige chabo.
 
Back
Top Bottom