Uke unauma

Uke unauma

Mara ya kwanza hata madaktari walifikiri hivyo lakn sivyo, ana uume unaonitosha sio mdogo wala mkubwa, maandalizi yapo tena ya kutisha tu mpaka huku chini kunalowa kabisa na ukimwingiza "Abdalah kichwa wazi" hakwami kwami anazama vizuri tu,lakini maumivu bado yanakuwepo
Hahahahahahahahaaaaa!
We mtoto utakata mbavu zangu ujue!!!
 
Mara ya kwanza hata madaktari walifikiri hivyo lakn sivyo, ana uume unaonitosha sio mdogo wala mkubwa, maandalizi yapo tena ya kutisha tu mpaka huku chini kunalowa kabisa na ukimwingiza "Abdalah kichwa wazi" hakwami kwami anazama vizuri tu,lakini maumivu bado yanakuwepo
Kwaiyo haupati raha yoyote wakati wa tendo?
 
Pole,
Maumivu yakizidi muone daktari;
Yakizidi sana acha kutumia hiyo kitu ujiangalie tena.
 
Mpenzi wangu nae ameniambia kuwa juzi kuna maji yanamyoka ukeni bila kujua tatizo.
Je ni ugonjwa gani?
 
Msaada wataalamu, ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote. sasa inawezekana kuna mwanamke mwenzangu amewahi ugua au amewah kumwona rafiki yake wa karibu akisumbuka au kuna wataalamu zaidi hapa, wote hao jamani naombeni msaada namna ya kutatua hili tatizo, mara ya kwanza madaktari walifikiri ni candadiasis nikapewa dawa haikusaidia, wengine wakabuni labda trikonoma nikapewa dawa lakn haikusaidia kitu, dawa nyingi natumia lakini bado sijapata unafuu.,naomba mwenye ujuzi anisaidie., Natanguliza shukurani za dhati wapendwa

Nadhani ama ni alergy au chronic drug resistant infections

Ukifanya na condom pia kunauma au ni skin contact peke yake?
 
Hayo majanga yapo hata kwa mpenz wangu,yaani juz kati kanirusha stimu balaa!ile naingia tu kelele mwanzo mwisho.Niliambulia goli moja tu wakat nimezoea minimum 5 goals.Hivi nimempa likizo kama mwezi hiv ili atumie dawa alizopewa hospital
 
nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine

Jaribu kubadilisha mpenzi labda huyo yake inachemsha ndio maana inakuwa too hot for you lol.....
 
niimesoma maelezo yako na nilichokiona hapo ni muda unaotumia kufanya ngono ni mrefu mno,,,,jaribu kupunguza mf. tumia masaa 2 badala ya ma4
 
nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine

Hujaulizwa ulikua una wapenz wangapi!
 
uliwahi kuumwa gono?kuna unusual discharge unayoitoa ?unapata thick white mucus ambayo inawasha wakati wa tendo?
Msaada wataalamu, ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote. sasa inawezekana kuna mwanamke mwenzangu amewahi ugua au amewah kumwona rafiki yake wa karibu akisumbuka au kuna wataalamu zaidi hapa, wote hao jamani naombeni msaada namna ya kutatua hili tatizo, mara ya kwanza madaktari walifikiri ni candadiasis nikapewa dawa haikusaidia, wengine wakabuni labda trikonoma nikapewa dawa lakn haikusaidia kitu, dawa nyingi natumia lakini bado sijapata unafuu.,naomba mwenye ujuzi anisaidie., Natanguliza shukurani za dhati wapendwa
 
Hayo majanga yapo hata kwa mpenz wangu,yaani juz kati kanirusha stimu balaa!ile naingia tu kelele mwanzo mwisho.Niliambulia goli moja tu wakat nimezoea minimum 5 goals.Hivi nimempa likizo kama mwezi hiv ili atumie dawa alizopewa hospital

yaani uwongo tu mwajisifu angali mwisho wa siku tukikupata nikigoli kimoja tu tena unaanza kuingiza tu ushakojoa
 
Huwenda Jamaa yako anakula pilipili kwa wingi hilo jambo husababisha hali hiyo.Pia nawe kama ni mtumiaji wa pilipili punguza.
- u
Utaratibu wa usafi wa nguo za ndani za jamaa ukoje? Jaribu kuangalia na hilo pia.
 
Aaaaaah! kumbe umefanya na huyo jamaa yako tu! kuna wanaume mwengine madudu yao ni makubwa mno na huwa yanawasha, ndoo maana baada ya kufanya mapenzi nawe unawashwa, ungejaribu dudu mbalimbali, fupi, ndefu, nyembamba, nene au hii kama yangu. Tatizo sio wewe ila ni jamaa yako huyo!

mmmh,!! we jamaa wew,.
 
Kama kuna antibiotics unatumia au uliwahi kuzitumia, zinaweza kuwa chanzo!
 
Kama upo Dar jaribu kumuona dokta bingwa wa kina mama somebody KAMUGISHA,MUHIMBILI
 
yaani uwongo tu mwajisifu angali mwisho wa siku tukikupata nikigoli kimoja tu tena unaanza kuingiza tu ushakojoa

Daaa Meljons una maneno!!! et tukikupata ni kamoko tena kalikoanza kutoka mapema,akigusa tu kwa nje hoi teh teh.
 
Back
Top Bottom