Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 757
Ungejaribu "abdalah" mwingine,yawezekana huyo wa sasa hamshabihiani.Mara ya kwanza hata madaktari walifikiri hivyo lakn sivyo, ana uume unaonitosha sio mdogo wala mkubwa, maandalizi yapo tena ya kutisha tu mpaka huku chini kunalowa kabisa na ukimwingiza "Abdalah kichwa wazi" hakwami kwami anazama vizuri tu,lakini maumivu bado yanakuwepo
weka pichaaaaaa😛hoto:Aaaaaah! kumbe umefanya na huyo jamaa yako tu! kuna wanaume mwengine madudu yao ni makubwa mno na huwa yanawasha, ndoo maana baada ya kufanya mapenzi nawe unawashwa, ungejaribu dudu mbalimbali, fupi, ndefu, nyembamba, nene au hii kama yangu. Tatizo sio wewe ila ni jamaa yako huyo!
nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine
Tatizo lipo kwenye G sport imebugudhiwa ni pm nikupe maelekezo zaidi
Son of Gun!kwa hyo ile raha kama anayoipata demu wengu, ww huipat?
Ais¨¦e!!Mara ya kwanza hata madaktari walifikiri hivyo lakn sivyo, ana uume unaonitosha sio mdogo wala mkubwa, maandalizi yapo tena ya kutisha tu mpaka huku chini kunalowa kabisa na ukimwingiza "Abdalah kichwa wazi" hakwami kwami anazama vizuri tu,lakini maumivu bado yanakuwepo
mmh inachemsha wajameniJaribu kubadilisha mpenzi labda huyo yake inachemsha ndio maana inakuwa too hot for you lol.....
Son of Gun!
mkuu uko wapi? je we daktari? umeajirwa wapi? au umejiajiri?
kuna upuuzi mwingi sana unaendelea hapa jf sasa hivi, kuna wapuuzi wanaodhani hili ni jukwaa la mmu.
hapa ni jf doctor kama huna idea ya tiba anayohitaji mtu weka kijambio chako chini skip to another thread siyo kuja kukata mauno kama upo kwenye vigodoro.
msg hii ni kwa wapuuzi wote mlioleta pumba zenu kwenye thread inayohitaji tabibu.
Dr Riwa upo? msaidie huyu binti tafadhari.
Msaada wataalamu,
Ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote.
Sasa inawezekana kuna mwanamke mwenzangu amewahi ugua au amewahi kumwona rafiki yake wa karibu akisumbuka au kuna wataalamu zaidi hapa, wote hao jamani naombeni msaada namna ya kutatua hili tatizo.
Mara ya kwanza madaktari walifikiri ni candadiasis nikapewa dawa haikusaidia, wengine wakabuni labda trikonoma nikapewa dawa lakini haikusaidia kitu, dawa nyingi natumia lakini bado sijapata unafuu.,naomba mwenye ujuzi anisaidie.
Natanguliza shukurani za dhati wapendwa
Jee, unafanya hayo mapenzi na mume wako wa ndoa au unafanya zinaa?
wewe bibi huku umepotea njia, hili ni jukwaa la jf doctor usilete stress zako na ufia dini wako, watoto wako mwenyewe wanagongwa tu kama kawa.
Mara ya kwanza hata madaktari walifikiri hivyo lakn sivyo, ana uume unaonitosha sio mdogo wala mkubwa, maandalizi yapo tena ya kutisha tu mpaka huku chini kunalowa kabisa na ukimwingiza "Abdalah kichwa wazi" hakwami kwami anazama vizuri tu,lakini maumivu bado yanakuwepo