Uke unauma

1. utakuwa huandaliwi vizuri.
2.au anakuingilia harakaharaka.
3.uke unakuwa mkavu,huna majimaji ya kutosha.
NB; huyo mwanaume ndio mwenye shida na wanaume wengi wako hivyo,tena unakuta anafanya fasta,akishakojoa,kamaliza,wewe hata hujafika popote

Fanyia utafiti ishauri wako !,
 

Jamani kuna watu mmepinda! Unatuvunja mbavu tu wengine huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…