Ukerewe, kilele cha siku ya wanawake duniani

Ukerewe, kilele cha siku ya wanawake duniani

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


8/3/2023
NANSIO - UKEREWE

MH Hassani Bomboko Mkuu wa wilaya ya Ukerewe ameshiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani katika Kuhitimisha Wiki ya Mwanamke Wilayani Ukerewe

Akizungumza na wanawake wa wilaya ya Ukerewe Mh Bomboko amewataka Wananchi Kumthamini na Kumheshimu Mwanamke katika Jamii ya ukerewe

"Mwanamke ni Nguzo katika Ustawi wa Jamii yetu, lazima Tukemee na Kupinga Unyanyasaji na Ukatili wa kijinsia Pamoja na ukandamizaji wa Haki za wanawake, Kama Vile Kupata Elimu, Kupewa Fursa na Vipaumbele katika Jamii, Kurithi Kuchagua na Kuchaguliwa."

UKEREWE TUITAKAYO - Kazi Iendelee.
IMG-20230309-WA1313(2).jpg
IMG-20230309-WA1314(2).jpg
IMG-20230309-WA1312(2).jpg
IMG-20230309-WA1311(2).jpg
IMG-20230309-WA1310(2).jpg
IMG-20230309-WA1315(1).jpg
 
Back
Top Bottom