DOKEZO Ukerewe yote vituo vya mafuta vimefugwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Enzi zile tukitembea kwa miguu kutoka Nansio hadi Bugolora kwa vile hakukuwa na usafiri na barabara zinazoeleweka. Inasikitisha leo Karne ya 21 tunarudi kule kule kwa sababu ya ujinga wa watu fulani fulani.
 
Nchi inajiendea tu kwa sasa.kila sehemu kuna matatizo tu.kwa sasa nchi nisawa na haina kiongozi kabisa
 
Sio kwa ubaya ninauwakika hata mama hajui kuhusu ishu ya mafuta hii.
 
Naomba namba za wakurugenzi wa EWURA ili wachukue hatua.
Hatuwezi kua na wafanyabiashara wahuni enzi hizi za uwazi.
EWURA Ina muwakikishi huko Murutunguru?
 
Ukerewe maeneo yake yapo umbali mdogo kutoka Nansio, tumieni hata baiskeli.
 
Wilayani Nansio vituo vyote vya mafuta havina mafuta, Rais Samia ametulia tu. Hii nchi sasa imeelekea kufeli tena big big failure.

IMG_0380.jpg

Kijana kuwa mzarendo, CCM mbere kwa mbere
 
Wilayani Nansio vituo vyote vya mafuta havina mafuta, Rais Samia ametulia tu. Hii nchi sasa imeelekea kufeli tena big big failure.
Anawachekea waliomwingiza chaka la dpw.
Watu wamepiga hesabu ndefu kuwa harudi Ikulu.
Kila kitu kuanzia sasa vitakuwa vululu vululu ili akose imani kwa raia, acheke na nyani..
 
Mkuu mleta mada upo Nansio sehem gani??
 
Wilayani Nansio vituo vyote vya mafuta havina mafuta, Rais Samia ametulia tu. Hii nchi sasa imeelekea kufeli tena big big failure.
Hii wilaya ya Nansio bila shaka itakuwa wilaya mpya
 
Wilayani Nansio vituo vyote vya mafuta havina mafuta, Rais Samia ametulia tu. Hii nchi sasa imeelekea kufeli tena big big failure.

Tumerudi miaka ya 70 kununua mafuta kwa kibali cha polisi.
 
Wilayani Nansio vituo vyote vya mafuta havina mafuta, Rais Samia ametulia tu. Hii nchi sasa imeelekea kufeli tena big big failure.
Kama Wizara ya Nishati imesema mafuta yapo, basi kinachoendelea ktk huu mkwamo ni HUJUMA.

Hujuma za namna hii zina lengo la kudhoofisha usalama wa nchi.

Serikali badala ya kukimbizana na wanaoikosoa serikali, ijikite kutatua hizi changamoto
 
Enzi zile tukitembea kwa miguu kutoka Nansio hadi Bugolora kwa vile hakukuwa na usafiri na barabara zinazoeleweka. Inasikitisha leo Karne ya 21 tunarudi kule kule kwa sababu ya ujinga wa watu fulani fulani.
Napita tuuuuu
 
Back
Top Bottom