Ukiacha electronics kununua Zanzibar suala la nguo na viatu

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam?

Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
 
Wa Zanzibar wanasemaje?
 
nguo za kike na watoto waweza nunua zanzbar ila za kiume nunua dar tu maana zanzbar ni bei sana
 
nahisi kwa nguo Bei Dar ni rahisi zaidi kuliko zanzibar, unless ziwe ni quality nzuri, Zanzibar kuna maduka wanauza nguo za old stock kutoka U.K kwa wepesi tunaita mtumba ambazo bado ni mpya, ni safi sana bei zakawaida ila quality safi sana.
 
hao wazanzibar wenyewe wanakuja kuchukua nguo Kkoo!
nguo Upande wa Bara ni rahisi sana tena sana!!
 
Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam?

Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
Una pasipoti?
 
Hapana hata electronics bei nzuri ni used tu ila vingine vyote bei iko juu sana gharama tu ya maisha znz iko juu sana ukienda kichwa kichwa utarudi dar na kusema duh sisi tuna maisha rahis sana nina kuna activies za mara kwa mara huko hata kulala ni mara moja sana yaani
 
Back
Top Bottom