Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Wa Zanzibar wanasemaje?Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam?
Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
nguo za kike na watoto waweza nunua zanzbar ila za kiume nunua dar tu maana zanzbar ni bei sanaWengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam?
Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
Mmmmh.... Ulihama kule makundu uchi?Hebu njoo hapa karibu na Skuli ya Dole nikuuzie Msuli.
Ok. Si wavaaji sana. Nimeona.. hata ofisini wanavaa kobazi.Sidhani kama Wazanzibar wanahusudu viatu.
Una pasipoti?Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam?
Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
Sure lo wanakuja
Ndo nimeomba jana baada ya kumsikia yule MbungeUna pasipoti?