joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #41
Usijaribu kuangalia, Mimi nimefanya kosa kuangalia, hapa nilipo nipo na ndoo ninaendelea kutapika, yaani nimetapika hadi meno mawili yamedondoka, yaani sio mchezoooo.Mlioangalia hiyo clip mtuelezee wengine dawa za kuzuia kutapika hatutembei nazo
Hahahaha, usitoke nje ya huu uzi. Wewe ulishasikia wapi binadamu anachezea kinyesi namna hii?. UwiiiiiiiKm vile unavyoona kula watoto ni kawaida..basi mi pia naona hvo hvo
Wewe jamaa hujioni hata aibu. Wenzako wameukimbia uzi huu maana ni aibu. Wewe unatete m&vi kubebwa kwenye mapipa.Nadhani ujumbe umeshafika...kutafuta pa kutokea ni lazima..
Hahahaha, usitoke nje ya huu uzi. Wewe ulishasikia wapi binadamu anachezea kinyesi namna hii?. Uwiiiiiii
Hahahaha, usitoke nje ya huu uzi. Wewe ulishasikia wapi binadamu anachezea kinyesi namna hii?. Uwiiiiiii
Wewe jamaa hujioni hata aibu. Wenzako wameukimbia uzi huu maana ni aibu. Wewe unatete m&vi kubebwa kwenye mapipa.
Unatia kinyaa.
Alafu huu uzi ni balaa leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani umewafanya watafungua nyuzi za ovyo ovyo leo.
Hahahaha, acha kututoa nje ya mada, Hahahaha, Kenya, Kenya, Kenya... Mumemkosea Mungu jambo gani, mbona mnateseka kiasi hiki?Niliskia bongo...watoto walikifanya km mlo
Hahahaha, acha kututoa nje ya mada, Hahahaha, Kenya, Kenya, Kenya... Mumemkosea Mungu jambo gani, mbona mnateseka kiasi hiki?
Imekuchoma jana kuambiwa mmefungua uzi kw ajili ya ku cover ule wa nairobi....ila sio mbaya na wewe kujifurahisha
Umehepa swali ndugu, but nimekuelewa..Nashukuru sana ujumbe umeupata...ila si mbaya kutafuta pa kutokea
Just because nyuzi huwa zinakuchoma usidhani kila mtu anachukulia serious nyuzi upuuzi wenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Umehepa swali ndugu, but nimekuelewa..
Punguza ma feelings basi...kujichekesha haimaanishi eti huaga hazikuchomi
Nini kinichome kwa mfano [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah pamoja mkuu. Turudi sasa kwenye uhuru wa habari.. Tutafutie clip kama ya mleta mada kutoka nchi zenye uhuru wa habari kama Kenya.Swali gani...kwn ilkua lile sio jibu la swali nililokuuliza
Nafsi yako waijua mwenyewe
Hahah pamoja mkuu. Turudi sasa kwenye uhuru wa habari.. Tutafutie clip kama ya mleta mada kutoka nchi zenye uhuru wa habari kama Kenya.
Alafu mbona unaruka ruka na nilikwambia ulete sehemu ambayo Tanzania wana uchafu kama huo hapo kwa video[emoji23][emoji23][emoji23]