joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Usijaribu kuangalia, Mimi nimefanya kosa kuangalia, hapa nilipo nipo na ndoo ninaendelea kutapika, yaani nimetapika hadi meno mawili yamedondoka, yaani sio mchezoooo.Mlioangalia hiyo clip mtuelezee wengine dawa za kuzuia kutapika hatutembei nazo