pole sana kwa kutojua haya mambo...wanaofuatilia kwanni technolojia inakuwa kwa kias kikubwa huku akili ya mqanadamu inazid kupungua hakika huwez ukaelewa nyuma ya pazia..
sio mzuri snaa katika kuandika na sipo vema kuandika kwa kutumia smartphone simply bcoz am away from my PC but nitajaribu kuandika kwa kadri vidole vyangu vinavyokosea ..dont be bored by my wirds error ..
kwanza kbas napenda nikuambie kuwa technoloji hii tunayoitumia inatoka sehemu na inahusishwa na Alliens (extra terrestrial beings)
inasemekana hao alliens wanabelong to another world ,,i mean THEY HOST IN ANOTHER GALAXY galaxy ..sasa dunia yetubipo mbali na hizo galaxy wanazopatikanaa hao viumbe Alliens... unaambiwa kuna mikatabq ilifanyika zaman snaa baada ya binadamu wa kwanza kuishi katika dunia hii kugundua kuwa sisi binadamu we nothing rather than extraterestrial ones (Alliens) na ilibidi wafanye mikataba na hao viumbe ndo ikabidi mikataba moja wapo ni kuruhus breeding contact (kujamiaana) na hao alliens ili viumbe watakaopatikana wawe ni qwnye uwezo mkubwa wa akili ..
ndo zikatajwa sehemu ambazo zingeweza au zingeruhusu hiyo contact na hao alliens..allmost yalikuwa ni mataifa yq ulaya na america yaliyonufaika na hiyo contact ndo hapo badae miaka ya 1700 ndo wakaanza kuzaliwa qatu kama akina Nicolas tesla,gallileo gallilei,isac newton,leonardo da vinci,michael faraday ,pamoja na ampere..hiyo contact ilihusisha nchi kadhaaa na ni siri kubwa kujua hilo....
ila ujerumani lilikuwa taifa la kwanza kupata hiyo Alliens contact zikafuatia na Israel pamoja na mji wa Armstadum ( Netherland) na badae mataifa mengine kama U.S america .
hiyp treaty ilifanyika kwa siri japo waliokuwa na uwezo wa kujua hayo walikuwa ni wale wenye upeo wa juu hasa kujua kutumia Third eye of the horus ndo walikuwa wanawwza kuyaona haya na contact hiyo imewekwa na kutunzwa kwa siri kubwa snaa....
kutokana na contact hiyo ndo zikapatikana hizo 13 secret families zinazotawala dunia na ukiangalia kweli ndiko ma genuis wa ulimwengu wanatokea huko..
inasemekana kuwa vatcan ndo sehemu pekee hizo treaties zilifanyika na ndo siri zote zipo pale..inasemekana kuwa Space station zote zipo under vatcan control na hasa mambo yote ya space soma kuhusu vatcan and GALACTIC CONNECTION UTAJUA KWANINI VATCAN INACONTROL TECHNOLOGY YA DUNIA HII.
Sasa vatcan ilinufaika na ujuzi huo na ikaanzisha elimu ya siri juu ya unajua na kuwasomesha baadhi ya watu ili mwanadamu na vatcan nzima ipate kujua makao sahihi ya hao Alliens ..
so ikitokea mwanadamu anhitaj advanced technolojia huwa ninkitendo cha kukutana na hao alliens badae wanatoe namna ya kufanya na badae mwanadamu anapata skills za kuunder vitu..
kwa mfano wale waliobahatika kuingia kwenye migodi ya dhahabu underground hakika watakuwa na ushahi juu ya mambo yaliyoko huko chini mpka malighafi zinapatikana..
fuatilia underground ya migodi mikubwa hakika utasema kweli siai binadamu we are nothing rather than Alliens..hata kihansi hydroelectric power station ilijengwa kwa miaka 6 chini ya wataliano daaaah..ni hatareee utashangazwa..yani umeme unafuliwa underground chini kbasa kwa umbali wa tonnel ya km 3 ndo unapata hiyo mitambo na kule kuna makazi ya watu ...only alliens support these constructions kwab wana upeo mkubwa snaa ...
sasa swali linakuja nini matumizi ya dhahabu..??
inasemekana kwamba kila galaxy ina kitu chake kinachoitwa BLACK HOLE
Black hole ni muhimu snaa kulinda galaxy moja hadi nyingine kwani huzuia interaction kati ya galaxyoja had galaxy nyingine...kila galaxy ina mfumo wake na ina sayari zake na nyota zake sasa ikitokea sayari moja imehama njia na kuingia njia nyingine hiyo sayari humezwa na BLACK HOLE ili kuzuia effect kwa sayar zingine..ndo mana ukisimama usiku ukatazama juu gafla unaweza ona kimondo kinakuja kwa kas kudondoka duniani gafla kinapotea hewan..sasa kumbe huwa kinavitwa na kuingia kwenye black hole..
sasa inasemekana kwamb galxy zingine zina impurities nyingi snaa pamoja na uchafu wa ges chafu nying snaa kama Mercury,asernic,mustard gas pamoja na kemikali za sumu ambazo zikigusana na mwili wa kiumbe yoyote husababisha Genomic sequence mutation na huweza kusababisha mutation kubwa sana ukajikuta umekuwa jitu jingine kabsa..( fuatilia movie za Marvel hasa movie za X-MEN utajua mazingira waliyochezesha utajua kbsa kuwa kuna watu wanaujua ukweli juu ya dunia hii na technoloji yake bit those people keep the secret (hidden) ndo mqna ya X-men..
kwa hiyp ikitokea mtu unataka ufike kwenye galaxy za mbali ni lazima ukabiliane na hiyo emmission ya dabgerous gas and kemicals ambazo husababisha mutation
.sasa kumbe kitu ambacho huzuia hali hiyo ni madini ya Gold( dhahabu) kwa hiyo gold huneutralize ile reaction na kufanya vyombe vile vinavypkwenda anotheelr galaxy kutopata effect juu ya hizo kemikali ndo mana majitu yanayopatikana kule sio kama binadamu wa kawaida kwa sababu ya kuadapt hizo mutation ila milky way galaxy ambapo ndipo mfumo wetu wa dunia na jua unapatikana ndo huzuia hizo mustard gas pamoja na heavy chemicala kuingia kwenye milky way galaxy na kutufanye tuwe huru ..( ndo mana watu undergo evolution)
manake milky way galaxy ni protective...
ili uwezo kupita across galaxy zingine inahitaji uwe na vifaaa vilivyotengenezwa kwa mchanganyiko wa gold na baadhi ya semi conductors kama Germanium na SILCON ..tena has silcon...
kwa hiyo gold huzuia hiyo reaction kati ya another galaxy heavy partcles na humani DNA la sivyo mwanadamu anayepatwa na hiyo kitu hugeuka gafla na kuwa zombi kubwa kama nyumba ..
so ndo mana Rochkids among 13 high and powerful families in the world wanajihusicha na kujimba dhahabu ulimwenguni kote ili kuendelea kuweka stock kubwa pale switzeeland ambapo ndobhuyeyushwa na ile pure hupelekwa underground MILITARY UNDERGROUND BASEA U.S. hasa maeneo ya Arizona ,AREA 51 pamona na sehemu zingine wanakotengeneza vifaaa vinavyokimbia kwa kasi kubwa acrossing galaxy za mbali kwani speed kubwa inahitajika...
so habari za kusema kuwa dhahabubhutumika sijui kutengenezea simu,pete,cheni na mikufu sijui ni matumizi madgo sana almost masalia ya pure gold ndo hutengeneza hivyo vitu..ndo mana utajiuliza iweje uchimbaji wa dhahabu unaotumia mabilioni ya pesa kwa ajili ya kutengeneza mikufu..??
the truth is hidden ..
kwa hiyo kazi kubwa ni hiyo ya kutebgenezea Sourcerers ( wanaofuatila vifaa vitumikavyo na alliens kuruka ndo vinaitwa sourcerers najua akina THE BOLD, MSHANA JR na wwngine wanaofuatilia Mambo haya ya siri nzito ya dunia watakuwa sambamba na mimi..
angalia Alliens launch kwa mfano ROSWEL UTAGUNDUA KUWA VILE VIFAAA NI ZAIDI YA NDEGE HASA SPEED YAKE NI KUBWA SANA olmost speed ya lait ..inasemekana lakini..
kwa hiyo Rochkids kupitia Barrick wanasimamia migodi yote duniani inayokadiliwa kufikia zaidi ya 300 na dhahabu yote hukusanywa kwa siri pale switzeeland kisa kupekwa vatcan stock kwa ajili ya hiyo kitu...
so without gold hakika wanasayansi wote wanaolaunch on space wangekuwa tayar wanpata Mutation ..so gold ni ant DNA reaction with heavy particlea found across other galaxies..
HUO NDO MCHANGO WANGU KAMA HUTASOMA VIZUR HAND WRITTING NIWIE RADHI NATUMIA SMARTPHONE .sijatembea na my Portable Computer (PC)
source::: DEEP WEB HIDDEN WIKI WITH HIDDEN SECRET TRUTH..
source :