Ukiacha matumizi ya Mapambo, nini Kipo nyuma ya uthaman wa Dhahabu?

dhahabu ni kitu cha kawaida tu, isipokuwa Mungu aimeipa kibali iwe na thamani. so are other gemestones and minerals. tangu enzi hizo kwenye Bible tunasoma mungu anaitambua dhahabu kuwa kitucha thamani alichotupatia wanadamu. ni sawa na sasaivi, Mungu alivyonitamkia mimi kuwa ni mtu wa thamani, hata mzunguruke kooote nitabaki wa thamani tu, hata mtu anichafue vipi, kuna siku thamani yangi itarudi palepale kwasababu kwa asili mimi ni mtu wa thamani. asante Mungu.
 
Tanzania ina matatizo yanayohitaji akili zetu kuyatatua na suala la kujadili masuala ya kiroho kuhusu dhahabu is none of them. Hizo falsafa zako haina tija kwa taifa hili. Ongelea mambo ya policies, ongelea mambo ya innovation, ongelea mambo ya kiuchumi..
 
Mshikaji ukipata muda rudi!,

Uelezee vzr..umezungumza vitu vingi saaana.
Umechanganya vitu vingi saaana

Unaweza kuwa uzungumza kitu ila mpk hapa me sijajua ni nn hasa umezungumza.
Kwamba tunawauzia hao Aliens au tunabadilisha nao kwa technology...

Au tunatengenezea hizo vyombo vya kusafiria hizo Galaxy???.
Afu point of correction.. Izo galaxy huwa zina gongana!. Na black holes huzidi kutanuka

Ukipata muda changanua kimoja baada ya kingine!!!
 
10. Gold is used in window glass
and astronaut helmets to reflect
infrared rays while allowing
sunlight to pass through, and at
the same time keeping it cool.
9. Gold is chemically liquified
and injected into the muscles of
thousands of rheumatoid
arthritis victims in the U.S., and
it is said that the treatment is
successful in seven out of ten
cases.
8. In every cubic mile of sea
water there is 25 tons of gold!
That’s a total of about 10 billion
tons of gold in the oceans;
however, there’s no known way
to economically recover it.
7. Gold can be hammered into
sheets so thin that a pile of them
an inch high would contain
more than 200,000 separate
sheets.
6. A single ounce of gold can be
drawn into a wire 60 miles
long.
5. The largest gold nugget found
in the U.S. weighed 195 pounds;
it came from California.
4. Gold is so heavy that one
cubic foot of it weighs half a
ton.
3. A one-ounce gold nugget is
more rare to find than a five-
carat diamond.
2. All of the gold in the world
could be compressed into an 18-
yard cube, which is about 1/10
the mass of the Washington
Monument.
1. Gold is said to be so rare that
the world pours more steel in
an hour than it has poured gold
since time began.
 
apo mkuu kama haipo sawa mfano embe likawa adimu kama dhahabu litafika thamani ya dhahabu?
 
Ulimwengu wa roho ndio nn?

Na huo ulimwengu unapatikana wapi
inabidi ujue mkuu jitahidi sana......pa kuanzia kwa nini tunasema marehem alale mahali pema peponi. wakati tunajua tumemzika udongoni tena kule makaburini kunakotisha.
 
Hata materials zinazotumika kutengeneza noti ya 1000 na ile ya 10,000 ni yaleyale. Kinachotofautisha u thamani wa hizi noti ni yale masifuri yanayowekwa. Yenye masifuri mengi Ndo yenye thamani zaidi, kwa mujibu wa ubinadamu.
Duh!! Ni ajabu..sifuri ikiongezeka mbele ya namba za noti thamani inapanda..ila ukiiona sifuri kwenye cheti cha shule ni hatari
 
apo mkuu kama haipo sawa mfano embe likawa adimu kama dhahabu litafika thamani ya dhahabu?
Jifunze kuhusu sheria ya demand & supply uelewe

Kama demand ya embe ni kubwa na wakati huo huo supply yake ni haba basi bei ya embe itaamuliwa kulingana na sheria hii.
 
Naona watu wanashindwa kuelewa jambo rahisi kuhusu sheria ya demand & supply

Kuna ndugu anauliza "Kama embe itakuwa adimu kama dhahabu je itafika thamani ya dhahabu? "

Kwanza unapaswa uelewe hili... "Bidhaa inaweza kuwa adimu lakini watu wasihitaji sana hiyo bidhaa". Hapa thamani ya bidhaa haiwezi kuwa kubwa japo bidhaa hiyo ni adimu.

Kwenye sheria ya demand & supply inabidi vigezo vyote vizingatiwe yaani demand ya kitu(embe) na supply yake.

Kama kutakuwa hakuna supply ya embe na angali demand ni kubwa basi bei ya embe itaamuliwa kwa sheria hii.
 
Mkuu thamani ya dhahabu inatokana na historia yake kwenye mfumo wa biashara toka kipindi cha mfumo wa bata system. Gold ilikuja kuchukua nafasi kubwa ya biashara na yule aliyekuwa na nyingi ndio aliyeonekana tajiri au mwenye uwezo wa kununua mali nyingi. Ule mfumo ulienda mpaka mfumo wa mabenki ulivyoanza na watu wakaanza kuweka akiba ya dhahabu yao kwenye mabenki na benki wakaanza kutoa coins ikiwakilisha kiwango cha hazina ya mtu ili aweze kununua bidhaa huku na dhahabu apeleke benki akahifadhiwe.
Sasa huu mfumo ulindelea mpaka leo mataifa mengi ambayo yana utajiri ndio yanaongoza kwa kuwa na hazina kubwa ya dhahabu. Ila kuna mfumo wa kibenki unaotumika ili kusimamia ununuzi wa hazina ya dhahabu ambao ndio unatambulika ndio utajiri wa nchi husika.
Ukisikia wanasema Tanzania ina hazina ya dollar 500 billion. Sio kwamba kule BOT wamejaza makabati ya dollar ni kwamba ni kiwango cha hazina ya thamani ya dhahabu waliyo nayo.
Ndio maana kwenye kipindi cha mtikisiko wa uchumi duniani dhahabu huwa inapanda thamani sababu ni nchi na makampuni makubwa na wafanyabiashara wakubwa huwa wananunua dhahabu kwa wingi ili hazina yao ibaki kuwa na thamani ile ile au ipande zaidi.
 
Hata materials zinazotumika kutengeneza noti ya 1000 na ile ya 10,000 ni yaleyale. Kinachotofautisha u thamani wa hizi noti ni yale masifuri yanayowekwa. Yenye masifuri mengi Ndo yenye thamani zaidi, kwa mujibu wa ubinadamu.

Daaaah true say Mkuu sijui aliyetoa hilo wazo alifikiria nini.
 
Jet engines,rocket engines waya zake zote zinatengenezwa na dhahabu,ndomana miradi ya kurusha vyombo angani ni garama sana...nchi kama tanzania hatuwezi kupeleka satelite angani mpaka labda miaka 1000 ijayo
Sidhani Kama kwa miaka 1000 tuataweza kwa akili tulio nayo? Tafadhali ongeza kidogo!
 
Reactions: 365
Kwa mtazamu wangu ni kuwa thamani ya dhahabu ni kutoka kwa Mola muumba mbingu na ardhi na vilivyomo.Ndiyo maana utaona dhahabu imepewa thamani kuanzia kwenye vitabu vya dini,Sio binaadamu waliyoipa dhahabu thamani bali ni Muumba mwenyewe,sisi binaadamu tumekuta na kufuata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…