Robben & James RodriguezMchezaji gani ambaye anatumia mguu wa kushoto ambaye unamkubali sana ukiacha Lionel Messi?
Kwani kuna mchezaji asiyetumia mguu wa kushoto!!??? Labda utusaidie mchezaji Hata mmoja anayecheza kwa kutumia mguu mmoja
Liqueme=RiquelmeKwa sasa hakuna hapo nyuma walikuwepo Edgar Davids Ryan giggs roman liqueme