Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1998 anampg kichwa van de sir, anapewa red card, argentina inatolewa na holandAsee kuna namba kumi mmoja alikua Argentina ya akina Batistuta,alikua anaitwa Eriel Ortega,wacha bhanaa aseee,nadhan vijana wa 96 huyu hawamjui alikua ni mwiba kweli kweli
Modric? Seriously? Umeanza jana kujua mpira au?Mtakatifu Luka. (Luka Modric)
Riquelme sio liqueme na pia hakuwa left footed player mzee. Get the pointKwa sasa hakuna hapo nyuma walikuwepo Edgar Davids Ryan giggs roman liqueme
Hayo ni matatzo!!!Mchezaji gani ambaye anatumia mguu wa kushoto ambaye unamkubali sana ukiacha Lionel Messi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lukaku
Luis Gustavo