Prince toyboy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 375
- 363
ajibu wa migombaaroon ramsey
NEYMAR JR.
Hazard
Mrisho ngasaUkiacha siasa na uzandiki wa soka hasa wa kuwapendelea Messi na Ronaldo kwenye kila kitu, ni mchezaji gani ambaye bado anacheza na unamkubali sana kwa uwezo wake? Pengine ana uwezo kuliko hata hao Messi na Ronaldo!
Mimi namkubali sana Andreas Iniesta, the midfielder maestro!
yupo fomuKevin De Bruyne a.k.a Albino