Ukiacha Messi na Ronaldo, Mchezaji gani wa soka ambaye hajastafu na unamkubali sana kwa uwezo wake?

Ukiacha Messi na Ronaldo, Mchezaji gani wa soka ambaye hajastafu na unamkubali sana kwa uwezo wake?

Ukiacha siasa na uzandiki wa soka hasa wa kuwapendelea Messi na Ronaldo kwenye kila kitu, ni mchezaji gani ambaye bado anacheza na unamkubali sana kwa uwezo wake? Pengine ana uwezo kuliko hata hao Messi na Ronaldo!
Mimi namkubali sana Andreas Iniesta, the midfielder maestro!
Mrisho ngasa
 
Back
Top Bottom