Ndugu zangu watanzania kama mnavyojuwa Ile taasisi nyeti ya Rais ina mambo mengi Sana ila Mimi Leo ninakuja kwenu kuwahusia Kuwa ukiacha Mh Rais wapo viongoz zaidi ya kumi Ambao hupaswi Acha waombea hawa no watu muhim Sana maana huwa hawastaafu ila wanakuwa kazini wakati wote wa maisha Yao.
Taifa letu ktk alama za nyakati linapita kipindi kigumu Sana cha mabadiliko kuanzia Sera za kiuchumi na kisiasa. Taifa hili linashuhudia mambo mazito hayakuwahi shuhudiwa Kwa miongo mingi ila kipo kitisho kimoja Nani tumtume akazungumze na Mzee.
Watanzania hatujuwi wala mm sijuwi ila ombea viongoz walio ndani na nje ya taasisi ya Rais kusimamia ukweli ktk katiba na kushauri hata kama ni Kwa gharama ya uhai wao.
Ndugu zangu waombeeni sana tena sana.