Mmemfuga wenyewe huyu leo anawageuka mnaanza kutafutana...... Mpo wengi sana lumumba hapo hamuwezi kushindwa kumkabili... Nendeni pamoja mwambieni ukweli.
Mkuu naona upo dipu sana.
Embu fafanua mkuu!
Kati ya mimi na mtoa mada nani yupo dipu kama ulivyosema?
Una matatizo gani mkuu hadi tukuombee?Mi mojawapo wa kuombewa sana