Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria
wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali?
Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema kina Mdee si wabunge halali, ni sawa na kutegemea maamuzi ya haki kwa kesi ya nyani wakati hakimu ni ngedere.
Watanzania tunachezewa sana.