Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali kwahiyo kutegemea Spika atasema kina Mdee si wabunge halali, ni sawa na kutegemea maamuzi ya haki kwa kesi ya nyani wakati hakimu ni ngedere. [emoji1534][emoji1533]