Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

Wewe binti yako akitestiwa mitambo na kijana wako wa kiume akitesti mtambo wapi mizizi ya shingo itakutoka?
hii variable ni ngumu sana kuidhibiti.

Muhimu ni kuwapa maarifa vijana wajitambue. Kila mmoja na thamani ya utu wake. Hili somo nikiwapa na nikiridhika kuwa wamepokea, nafsi itakuwa huru kuhusu maamuzi yao.
 
Kabisa mkuu , tena hasa hawa mabinti wewe kama baba una nafasi kubwa ya kuwatengeneza wasirubuniwe kizembe kwasababu njia zote unazijua.
 
Sisi wanaume ni wajinga sana
 
Umemaliza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…