Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

Trump ni rais mtarajiwa
 
Sawa mkuu,tutafanya hivyo.
 
Hii nai print nitawapa watoto wa some wakibarehe
 
Najua yawauma sababu Malaya mmoja amepungua kwenye mzumguko wenu, na tukimchukua twamfundisha kuwa mke mwema hammpati ng'o..
Endeleeni kutoa povu, Malaya mae mwanaume aliekamilika.!!
 
Eeh and tukiwa age mate wanakua wanajitafuta wakipata wanashuka na hawa underage

Af sisi wanaanza kutusema kama hvi
Sio kwel , hiyo ni saikolojia tu yakuwafanya mjione mmepitwa na wakati ili mlegeze kamba , mlipo kaza lazima milio ya Nokia iwepo , vocha ,gesi ,pesa ya kodi ,kusuka na baba kameza panga unafikiri mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…