Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

Sio kwel , hiyo ni saikolojia tu yakuwafanya mjione mmepitwa na wakati ili mlegeze kamba , mlipo kaza lazima milio ya Nokia iwepo , vocha ,gesi ,pesa ya kodi ,kusuka na baba kameza panga unafikiri mchezo.
Aya bhana kikubwa uzima
 
Kuna mmoja ndio karudi hapa baada ya miaka 5 na mtoto juu analalamika nilimkimbia wakati yeye ndio alinizingua anasema yupo tayari kuolewa mke wa pili.
 
Ukitaka kuenjoy ndoa oa mwanamke mwenye anakutii na kukuona ww ndio nguzo yake otherwise awe na miaka 18 hata 35 kama Hana hivo vitu andika maumivu
Haya maandishi ungebold kabisa.
 
 
Umetema madini sana
 
Ndio JF ina uhuru lakini Washkaj kuweni na kiasi cha maneno...una mke wewe au una mtoto wa kike au una Dada zako?
 
Bandiko zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…