Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

Nmelia sana
 
Ok
 
Duh.
 
This is a little bit harsh mkuu hasa ukizingatia kuwa mwanaume mwenyewe anaweza kuwa na body count kubwa kuliko hata ya huyo mkewe mpya. Hata ukipata aliyetumika sana unakubali tu mnaanza upya maana wakati anakusanya hiyo body count wewe hukuwepo. She never cheated on you because you were never in the picture. Let your pasts RIP πŸ“Œ

Maadui zako hasa ni hawa watatu walioko nyuma yako wewe groom; na sio walio mbele yako 😁 πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

 
Nakazia
 
Aiseee aiseee.

Hadi mbavu zinauma.

Oyaa weeh hii comment nai screenshot Asante sana mkuu
 
🀣🀣🀣🀣 Hii nimeikataa asee hapana kwa kwelii
 
Najua yawauma sababu Malaya mmoja amepungua kwenye mzumguko wenu, na tukimchukua twamfundisha kuwa mke mwema hammpati ng'o..
Endeleeni kutoa povu, Malaya mae mwanaume aliekamilika.!!
Jichanganye, jasiri haachi asili
 
Ushauri huu unawafaa wanaume dhaifu na wenye mapungufu.

Mwanaume kamili hawezi kukubali huu ujinga, Mwanamke anaangaliwa past yake na mwanaume anaangaliwa future yake.
 
Ushauri huu unawafaa wanaume dhaifu na wenye mapungufu.

Mwanaume kamili hawezi kukubali huu ujinga, Mwanamke anaangaliwa past yake na mwanaume anaangaliwa future yake.
Una hoja tena umeiwasilisha kwa lugha ya staha inayoonyesha ukomavu wa hali ya juu emotionally & logically. Naomba usikilizwe. Ukiendelea hivi kwa hakika utafika mbali πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Wakati nasoma nilikuwa mpole sana na nilikuwa mtu serious sana sikuwa mtu wa kutongoza tongoza wasichana kumbe kuna mdada alinipenda sana na tulikuwa tunakaa jirani,

Tulipomaliza 4 yeye hakuendelea mimi nikamaliza hadi Uni narudi pale nakutana na shangazi yake anasema mwenzio yupo(kwa maana ananisubiri) huyu shangazi yake alikuwa kama shangazi yangu kipindi hicho dah nilimuonea huruma kwani nishaanzisha mahusiano huko chuo na tayari nilikuwa kwenye process za kuoa

Ukute nayeye kuna watu alikuwa anawakataa kwa ajili yangu, mtoa maada mahusiano kwa wanawake ni ya kubeti sana tofauti na sisi wanaume
 
🀣🀣🀣🀣 Hii nimeikataa asee hapana kwa kwkwelii
Safi kabisa mkuu. You are entitled to your opinions. I am also entitled to mine...and that's how is supposed to be in a civilized society. Piga kitabu vizuri sasa. Haya mambo utayakuta tu na muda wa kuchagua mwenza ukifika nitakucheka sana maana kichwa mpaka kitakuuma dadeki. Na mimi naomba kikuume tu kwa kweli maana hakuna namna! 😁😁😁
 
Acha watu waoe na kuolewa , we komaa Tu na gube gube lako boss , kama unataka bikra make sure na ww ni bikra ... Maisha mafupi haya kuanza kusort out
 
Aya ya mwisho inasema yote. Hata ukioa mwanamke wa 20 yrs kama ni hovyo hovyo lazima ukutwe na jambo.
Ishue sio umri hapo, ishue ni desperation ya huyu mwanamke akifika umri ambao anaona ni tatizo kama yeye hana mtoto au hana permanent relationship, ambapo mazingira kama hayo ameyatengeneza yeye mwenyewe on her early twenties, dating the wrong dudes thinking they are the ones. Akifika Thirthies ana loose composure anaona bora yeyote atakaekuja na atakae kuwa na msimamo, hapo ndio tatizo linapoanza sababu kama hakuna mapenzi ya kweli ni watu wanatengeneza bomu kubwa sana na hapo hapo ndio wanapozaliwa masingo maza wakutoshaaa. Fanya research
 
Halafu ilikuwaje mkuu? Wewe ulioa huyo mpya uliyempata chuoni. Na yeye huyu aliyepoteza muda wake akikusubiri ilikuwaje? Alikuja kuolewa au maumivu na disappointment uliyomwachia ilimtoa kwenye ramani akaishia kuwa singo maza au spinster? Una furaha ya kweli katika ndoa yako hiyo mpya?
 
Na nyie vijana mmezidi malalamiko

Sasa wewe unataka akukubali akiwa na miaka 21 uanze kumchakaza na kumchafua kwani yeye hataki maisha ya ujana wake?

Kwanini Hamtaki wafurahie ujana wao kwa kusoma, kutafuta maisha na ku enjoy?
 
Jichanganye, jasiri haachi asili
Hatuishi milele alafu acha kuogopesha watu
Unahaki ya kuwatuhumu wanawake kama wewe mwanaume ni bikra hujawah kusex ndo unaweza ongea hivyo tofauti na hapo ni unafki

Unaongea hivyo huku unamsururu wa wanawake ambao huna mpango nao zaidi ya kutimiza mahitaji yako ya mwili huo ni unafki
 
Huu ujumbe una circulate sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…