Ukiachana na Jenister muhagama kuna huyu George Mkuchika

Mhagama ni waziri toka nimeanza kumsikiia toka 2007,sionagi anachofanya ambacho ni legacy
 
Mkuchika simjui kiundani,
Ila mama namna, kiufupi ndie matroni wa taifa,

Amehudumu Kama mshauri wa maraisi wote direct and indirect tangu awamu ya mkapa.

Watukutu wote ccm, usalama Hadi ikulu uelekezwa kwake Kwa counseling.

Sio muongeji sana public Ila persoanally Ana uwezo mkubwa Sana wa kushauri na kushawishi

Ukijikuta kwenye ugomvi na yule mama, directly ww ndo utakua mkorofi.

Ukishindikana kushauriwa au kuonywa na yule Mama, system lazima wakule kichwa
 
majina ndo hayo hayo mkuu wote tunayasikia kwa staili hiyo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…