Ukiachana na kondomu, neti na dawa za kufubaza makali ya UKIMWI; aina gani ya msaada mingine kutoka USAID?

Ukiachana na kondomu, neti na dawa za kufubaza makali ya UKIMWI; aina gani ya msaada mingine kutoka USAID?

Wanasaidia mambo mengi sana ambayo mwananchi wa kawaida haambiwi kabisa
Na kama kila kitu wanachotoa kingewafikia walengwa basi kusingekuwa na shule isiyokuwa na vitabu na madawati na vyoo
Wafadhili wanatoa hela na vifaa kwa Elimu, kilimo, afya na hata chakula
Kwa hiyo sio condom tu
 
Wanasaidia mambo mengi sana ambayo mwananchi wa kawaida haambiwi kabisa
Na kama kila kitu wanachotoa kingewafikia walengwa basi kusingekuwa na shule isiyokuwa na vitabu na madawati na vyoo
Wafadhili wanatoa hela na vifaa kwa Elimu, kilimo, afya na hata chakula
Kwa hiyo sio condom tu
Upumbavu mtupu Kama hiyo ndo misaada
 
Google ingekusaidia

USAID (United States Agency for International Development) ni shirika la misaada la Marekani linalotoa msaada wa maendeleo kwa nchi mbalimbali duniani, ikiwemo Tanzania. Kazi kuu za USAID ni:

1. Maendeleo ya Uchumi – Inasaidia kukuza uchumi kwa kuwekeza katika biashara ndogo, kilimo, na ujasiriamali.


2. Afya – Hutoa msaada kwa miradi ya afya, kama vile kupambana na malaria, VVU/UKIMWI, lishe bora, na afya ya mama na mtoto.


3. Elimu – Inasaidia upatikanaji wa elimu bora, hasa kwa watoto wa kike na jamii zilizo pembezoni.


4. Utawala Bora na Demokrasia – Inasaidia kuimarisha demokrasia, haki za binadamu, na utawala wa sheria.


5. Misaada ya Dharura – Hutoa msaada wa kibinadamu wakati wa majanga kama vile mafuriko, njaa, na migogoro ya kivita.


6. Mazingira na Nishati – Inasaidia miradi ya uhifadhi wa mazingira, nishati mbadala, na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.



USAID inashirikiana na serikali, mashirika ya kiraia, na sekta binafsi ili kuhakikisha maendeleo endelevu. Tanzania ni moja ya nchi zinazopokea msaada mkubwa kutoka USAID, hasa katika sekta za afya, elimu, na kilimo.
 
Japo gharama za kupata ARV zipo juu Ila sifikirii Kama tutashindwa kulipia hizo dawa.

Je kwann mnamlaani trump?
Uchawa umetufikisha hukutulikuwa hadi chawa wa waliotufungia vioo vioo vya kuwa omba omba tangu kwenye bajeti kuu hadi ifadhili wa miradi inayoliwa kwa urefu wa kamba.
 
Japo gharama za kupata ARV zipo juu Ila sifikirii Kama tutashindwa kulipia hizo dawa.

Je kwann mnamlaani trump?

Kwa hiyo hata WHO tu, kulazimika kupunguza budget yao kwa $ 400m chigafla, nayo hujasikia? Au?
 
  • Thanks
Reactions: apk
Japo gharama za kupata ARV zipo juu Ila sifikirii Kama tutashindwa kulipia hizo dawa.

Je kwann mnamlaani trump?
Kujenga vyoo vya mashule huku watawala wakitumia mashangingi ya 600Ml
 
Ushoga na vilainishi

IMG_5874.jpeg
 
Hiyo misaada ifungwe tu maana wwnaofaidi ni baadhi ya majizi tu
Sio upumbavu ni billions of $ wanapiga watu kila mwaka
Angalia marais Africa wanavyo ng'ang'ania madaraka
Leo misaada yote mpaka ya vyoo
Wabongo sie ku&mme hizo data za hayo ma usd bilioni mbona hatuzioni kwenye takwimu za hao wafadhili wenyew , nyie mnazitoa wapi au ndo na hao wafadhili nao wanaficha kias halisi Cha pesa wanachotupa kama msaada
 
Wanatoa magari mengi sana hapa Tz,wamechimba visima huko vijijini,wanafadhili tafiti za magonjwa kwenye taasisi kama NIMR,wamejenga shule baadhi ya wilaya,pia na misaada wa chakula wakati wa njaa.Misaada Huwa ni mingi sana
 
Huduma kwa mama na toto, vyakula mashuleni, dawa morelia, kusaidia na kuelimisha juu ya madhara ya ndoa za utotoni, kufadhiri miradi ya kilimo. Kwa upande mwingine walikuwa ni soko la ajira na kukuza uchumi pia.
 
Tangu trump atoe tamko la kuwa USAID inasimamisha kazi kwa muda wa siku 15,basi nimekuwa nikiona magari mengi ya mashirika mbalimbali yakiongozana uelekeo mmoja,huenda ndo ikawa wanapeleka magari yao ofsi kuu,kazi kwisha.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom