narudi kesho
Senior Member
- Jul 5, 2024
- 177
- 270
Habari za humu wana JF,
Katika kupitia nyuzi mbalimbali humu jukwaani nimegundua watu wengi wamekuwa wakilalamika hususa kuzaliwa afrika na wengine wamefika mbali zaidi na kusema ngozi nyeusi imelaaniwa. Binafsi nakubaliana nao Kwa uafrika nina uchukia ila sio ngozi yeyote nyeusi imelaaniwa.
Pia, binafsi siamini chama kimoja kuongoza nchi kwa muda mrefu ndiyo kunafanya maisha yawe magumu kwa sababu kuna taifa kama uingereza liliwahi kuongozwa na malkia kwa muda mrefu lakini uongozi haukukuteteleka na uchumi wao mkubwa had leo,taifa kama brunei Sultan wao yupo madarakani tangia 1967 lakini hadi leo maisha mazuri na watu wanakula bata.
Ukiniambia Tanzania lina eneo kubwa na watu wengi ndiyo maana maisha magumu basi wewe huna akiri.
Hii ardhi wanaoishi watu weusi inaonekana moja kwa moja kuna kitu hakipo sawa na hakitakuwa sawa kwa sababu ndiyo tulivyoumbwa.
Ukiniuliza kitu gani chengine Nacho kichukia ni kuwa hadi leo nipo Tanzania.
Sijui wewe mwana JF mwenzangu.