Ukiachana na kuwa Mwafrika, kitu gani kingine unakichukia?

Aisee wee upo kama mie bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko binadamu Afrika 🤣🤣🤣🤣
Umenikumbusha Paka wa Shamshi,Kuna muhindi kitaa anaitwa Shamshi, alikua na Paka Kila asubuhi anamnunulia Maziwa,Sasa tulivyokua wadogo tulikua tunasema "anha Bora mtu uwe Paka wa Shamshi"
 
Watu wadhani utani lakini kuna mbwa au paka wanaishi vizrui kuliko binadamu
 
Back
Top Bottom