WordsDunia ya sasa sio lazima kuwa karibu na kila mtu!! Ukiona mtu anakuzoeazoea kuwa nae makini,amegundua fursa...
Kwenye ule uzi wa website ya magonjwa ya akili niliomba kama kuna mtu yuko karibu na huyu dada ajaribu kuwa naye karibu na kumsaidia. nasisitiza tena jamani msaidieni mwenzenu.
Sio wote uliowahi kuwa na uhusiano na wewe ni watu genuine...
Wengine wapo kwa sababu zao wenyewe..
Kwa kua wizi wa Identity umeshamiri..
Nawapa tu reminder especially wale wenye mahusiano na mataifa mengine..kuwa waangalifu..
Kuwa muangalifu..nawakumbusha tuu..kitambulisho,number za bank..ni vitu ambavyo unayekua nae asivijue unless ni mumeo/Mkeo..na mkiachana badilisha kila kitu..
Dunia imebadilika
Dah!Kwenye ule uzi wa website ya magonjwa ya akili niliomba kama kuna mtu yuko karibu na huyu dada ajaribu kuwa naye karibu na kumsaidia. nasisitiza tena jamani msaidieni mwenzenu.
Kwenye ule uzi wa website ya magonjwa ya akili niliomba kama kuna mtu yuko karibu na huyu dada ajaribu kuwa naye karibu na kumsaidia. nasisitiza tena jamani msaidieni mwenzenu.