Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
- Thread starter
- #41
..Unaiba kitambulisho ili iweje? Au kadi ya benk ili utowe pesa? Thank God sijawahi kuwa kwenye mahusiano na watu wa ajabu sitegemei lolote kunikuta.
Yeah,hata yaliowakuta..walijua kuwa wana mahusiano na watu sio wa ajabu ajabu as you put it