I am worried.
This one and the other topic!
Don't be please...I am okay..na share vitu ninavyoviona ili watu wengine wajifunze..it doesn't matter kama vimenitokea au vimetokea kwa wengine...kuhusu mambo ya akili nataka kufanya research kwenye hilo eneo..nilikua najaribu ku identify wapi pana gap...
Kama vipi tuonane nami nifanye analysis yangu nijiridhishe.Unazingua aisee….je unataka unione live uthibitishe kuwa mie ni mzima?? Magonjwa ya akili nataka kufanya research kwenye hilo eneo...acha kuzingua bob..
Kweli mkuu me kidogo tu mtu anigeuze fursa, ukijumlisha na ugeni yani nilikuwa nyama yake kabisa Mungu huyu jaman yupoDunia ya sasa sio lazima kuwa karibu na kila mtu!! Ukiona mtu anakuzoeazoea kuwa nae makini,amegundua fursa...
YOU MEAN REBBECA IS MENTALLY ILL OR IS MENTALLY CHALLENED???? are you sure, why say that coz i aslo have some funny thinking --------------Kwenye ule uzi wa website ya magonjwa ya akili niliomba kama kuna mtu yuko karibu na huyu dada ajaribu kuwa naye karibu na kumsaidia. nasisitiza tena jamani msaidieni mwenzenu.
Seriously, Nipe location inboxPowa mkuu..tukutane wapi sasa? hahahha
Kwa jibu lako tu linaonyesha nani ana tatizo la akili kati yako na yake...Uko vizuriUnazingua aisee….je unataka unione live uthibitishe kuwa mie ni mzima?? Magonjwa ya akili nataka kufanya research kwenye hilo eneo...acha kuzingua bob..