Ukiachana na mpenzi wako ondoka na kila kitu chako pamoja na vitambulisho vyako

Unaiba kitambulisho ili iweje? Au kadi ya benk ili utowe pesa? Thank God sijawahi kuwa kwenye mahusiano na watu wa ajabu sitegemei lolote kunikuta.
..
Yeah,hata yaliowakuta..walijua kuwa wana mahusiano na watu sio wa ajabu ajabu as you put it
 
Umenikumbusha jinsi ex wangu alivyokuwa ananipa ATM card yake nikamtolee mawe. Cha ajabu ilifika kipindi hadi yeye akawa amesahau password yake.

Lakini hata siku moja sikuwahi kumuibia.

My take
Wizi au utapeli ni tabia ya mtu, nyakati mnazisingizia tu.
 
almanusra nichaniwe documents zangu na mwanamke mmoja nilie kuwa nae kwa mahusiano aisee ni kwelii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…