Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

dej

Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
60
Reaction score
150
Habari wajameni,

Sisi low income earner tuko na changamoto sana ya kutaka vitu vizuri na imara at affordable price,, btw kila mtu anapenda vitu vizuri mazee.

Sasa basi, ukiachana na brand Tajwa hapo juu, Hisence imekuja kwa kasi sana mtaani na kuonekana ni TV nzuri at affordable price.

Lakini reviews nyingi za wadau ni kwamba hisence wamefanikiwa kuwa na jina (brand) lakini uimara wake sio guaranteed kabhitha na hizi pesa zetu za ngama mtu kusave 1m kununua TV af within a year inaanza kuleta changamoto ni mazishi mazee.

Kwa mbali naona TCL inasifiwa kwa uimara than Hisence,, humu ndani wabobezi wa hizi mambo ni wengi sana..
What do you guys comment aisee?
 
Achana na TCL kachukue Hisense 4k Smart u enjoy.
Ao Samsung, LG, Sony n.k uko ni mziki mnene kama pesa Yako ni ya ku ungaunga.
 
Kwa bajeti yako kama uko vizuri, chukua Tcl hiyo latest 2024 (C635) QLED 4k) au C735 unyama mwingi.
Kwa hisence chukua hii latest U8 or U7.
Nakubali boss, issue kubwa ni kwamba ipi kati ya hizo ni imara na unyama?
kwa mfano hizo zote mbili price yake ni 1m, utanishauri nichukue ipi?
 
Hizi TV za china ni kucheza pata potea. Hisense/TV unaweza kubahatisha ukapata nzuri ila kama unaweza kuongeza budget bora uongeze uchukue LG. Nilinunua hisense baada ya warranty ikaleta mstari kwenye screen, warranty yao wanatoa mwaka mmoja. LG nafikiri bado ni 2 yrs.
 
Hapo ni kweli inabidi acheze pata potea.
Mimi nilidunda na ALITOP karibia miaka miwili baadae nikawaachia madogo sasa hivi nipo na HAIER inaenda mwezi wa sita sasa na bado inadunda tu.
 
Kuna TV brand hapa bongo inaitwa MEWE.

Hii naona wabongo wengi hawajaistukia,ila ni bonge la tv. Kule afrika magharibi hii tv inafanya vizuri kama vile Hisense inavyofanya vizuri east Africa.

MEWE.
Mewe ni nzuri kama hisense? Zinaonesha quality?
 
Back
Top Bottom