Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

Hesence kama umenunua enzi zinatoka
Umepata TV Lkn kwa sasa not much

Recommendation LG, Phillips, Sony and Samsung is still the best products
 
Mkuu cha muhimu ni after sale service, brand yoyote utakayochagua hakikisha ipo Tanzania na ina service centre na inatoa warranty chochote kitachotokea.

Hisense na TCL wapo vizuri kwa wachina pia naona Haier siku hizi wapo.
 
Pia unaweza ukapunguza Resolution na kutoa feature ya smart kupata tv bora kwa bei rahisi.
 
Ukichukua Hisense 4k kuanzia 55' utagundua huna haja ya sound bar Hisense hana mpinzani kwa bei nafuu na ubora.
 
Hesence kama umenunua enzi zinatoka
Umepata TV Lkn kwa sasa not much

Recommendation LG, Phillips, Sony and Samsung is still the best products
Sony wengi hawawezi bei yake mkuu,hiyo lg nayo ni uweke mbali na watoto vioo vyake ni sensitive sana bado Hisense ni best choice.
 
Hapa ni mwendo wa Samsung, LG na Sony tu.
 
Nimenunua ubey hata wajukuu wanachezea lakini ipo miaka 4 sasa
 
Tqtizo ni kuwa saizi bidhaa zimejaa feki sana sokoni hata hizo lg/samasung.
Ni nqdra kupata samsung/lg ya korea au ya soko la ulaya. Ni michina tu imemwaga humo kwenye ma store
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…